Kwa wana ACT Maendeleo ,namuulizia Kiongozi wangu wa juu wa chama Yupo wapi ?

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Jamani ,najikuta napata Upadates za vyama vingine zaidi kuliko Updates za Kiongozi wa Juu wa Chama Cha ACT maendeleo ,Zitto Zuberi Kabwe , naombeni tuhare atleast kinachoendelea ..
Nakosa Cha kjjitetea kwnye Maongozi ya Siasa na Vijana wenzangu .

Updates Please ..ni nn kinaendelea . ?
 
maji ya shingo haelewi pa kushika napesa zina.isha ila mayb kaondoka na mkuu wa kaya akazichote ukouko
 
Mshika mawili moja humponyoka....
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote....
Dhambi ya ubaguzi ni sawa kabisa nandhambi ya usaliti kwani itakufuata popote uendapo.......
 
Back
Top Bottom