Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

IMG_3969.jpg

Mimi
 
Mimi nimejiweka hapo Nissan patrol 2011 TD42 niliwahi kukodi moja nikapita nayo kutoka mlimba mpaka mafinga kwenye milima ya Kihansi akili yote ikahamia Nissan kwa kweli ni machine
Haha ile njia dume milima imesimamia kucha!
 
Kuna mzee.mmoja.alikuwa na nisan liberty ilimtesa sanaaa Cv joint alipotaka kuibadilisha yaan alizunguka Dsm nzima chocho zote hamna ....aliipark gari gerage mpaka alipo agiza toka dubai
 
Back
Top Bottom