Kwa waliozaliwa January 15 tu!

Hey ladies;
Natoa 'offer' ya urafiki utakaopelekea uchumba kwa msichana aliezaliwa Jan 15, mwenye miaka 20-30. Lengo ni kuwa na rafiki ninaye-share naye 'birthdate'. Nimezaliwa tarehe hiyo pia. Mengine tutaelezana kwa PM.

Mi nimezaliwa terehe hiyo na ninamiaka 25 so kavipi twenzetu
 
Kw hyo unatafta ndoa?..kw style hii umechemka,unafkr mwanamke anataka ndoa kisa mmeshare bday?‎؟jipangeeee
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom