Kwa waliowahi kwenda kwa RAS SIMBA

Ukisema hujui emglish anakuuliza mama kwa kingereza ni nini? Ukisema mother.
Kwisha
Jamaa mjanja anasema "USIPOJUA KABISA" kiingereza hela yako inarudishwa.Hayo maneno ya USIPOJUA KABISA ndio mtego wenyewe maana haiwezekani usijue kabisa

Tumbo ndio Linalotembea,Miguu ni Mikongojo tu.
 
Mi nimeenda nimesoma miezi mi tatu nikawa sijajua nikaenda kudai changa akaniuliza 'what is your name? Nikamjibu akaniuliza icho ulichoongea ni kinyakiusa au kingereza ikabidi niondoke mdogo mdogoo
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom