Kwa waliowahi kuwekana kinyumba bila ndoa

Mimi nadhan yangu ilitia Fora.

Nilikaa na Msichana ndan kwa miaka miwili, 2011 na 2012 yote, ghetto, enzi za chuo - Boom lilisaidia kupanga off Campus.
Huku wazazi na walezi wetu wote wakijua tunakaa Hostel za chuo.

. Maisha yake Dah!.

Lengo ni kijitegemea na kuanza Maisha mapema na kuwa na biashara.
Na since then sijawah rud Nyumban kukaa, ni kwenda kusalimia tu.



Sent from my iPhone using JamiiForums
Ha ha ha! Mkuu kama vile nakufahamu!!
 
Back
Top Bottom