Kwa waliowahi kupata matatizo ya Gear Box,

ProBook

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
558
257
Habari wakuu,

naomba kuuliza kwa watu ambao waliwahi kupata matatizo ya gear box kuslide,

je mliweza kufix gear box zenu hizo hizo au mlinunua gear box mpya,

na kama mlibadili vifaa vya ndani mkarepair hizo gearbox, je hizo genuine spares mlipata wapi, or kama mlinunua gear box mpya mliinunulia wapi,?

Tatizo:
Gari langu limeanza kuslide gear box, yani kwa maana gear inaengage ila inakuwa haina perfomance, gear zimeisha ndani huko.
 
sifahamu kingereza kwaiyo vifb ntakua niviandika kwa kiswahil
gari lako ni automatik au manyu
 
Back
Top Bottom