Tyrex
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,280
- 4,730
Habari zenu ndugu, let's me stick at the point me Ni mhitimu wa kidacho cha 6 mwaka huu nimepata alama za DEE sasa hapo nafikiria kukata rufaa katka somo1 ambalo nahakika nalo kabsa naombeni ushauri kwa wale waliowah kukata rufaa vp effect zake znakuaje kama Ni kufaulu Au kushushiwa zaidi marks. Ahsanteni