Kwa waliosoma Tosamaganga: Hivi muasisi wa maneno yafuatayao ni nani?

Nakumbuka kabla mkangwa hajaondoka aliwekwa kitimoto,ilikuja team ya watu wa elimu toka mkoani na wengine walitoka wizarani,wakimuwakilisha waziri wa elimu.
Ishu ilikuwa barua ambayo aliandikiwa waziri toka kwa wanafunzi ila ilikuwa addressed kwa jina lake hvyo ilitua mezani kwake..alikuwa mdogo MK..,Kesho yk alipanda assembly akasema kauli moja..'USIOMBE KUKUTANA NA SIMBA ALIYEJERUHIWA' .,then akashuka kuelekea ofisini kwake tukasikia mlango ..Mbaaaaa..akapanda Ugurumoo..
Namkumbuka MNOTI.,RIP kamanda wa ukweli.,alikuwa kichwa PCM kutoka kambi ya wasela,jamaa alikufa kwa risasi,kifo chake ilikuwa kama muv,maana roomates walimtengenezea mchoro wa ukweli,.
Nakumbuka jinsi viongozi wa social walivyokuwa wanapatikana,kigezo utoz yaan pamba,kuhudhuria disco,fuba,anahudhuria kanteen,handsome...
Nakumbuka mabifu ya chuaaaaaaa na o levo,cjawah kuona popote.4m5 hakuwa na haki ni kama 4m1.
Nakumbuka siku watoto wa dr wa ipamba waliokuwa wanasoma mkwawa walivyovuliwa nguo,..halafu usia wa mkangwa kesi ilipomfikia akasema 'USIANZE KURUSHA MAWE WKT WW UPO KWNY NYUMBA YA KIOO'
Mama mingoiiiii.,Aboy mzee wa chemistry anamkumbuka sana huyu,kila centre aliyokuwa anafundisha ilikuwa lazma amtaje..pc n love Ambrinyo,cjui upo wap...
Natamani niendelee...
 
Mie nilikuwa enzi za mkangwa, yule dada anayeitwa mwl kejo alikuwa mwl wangu wa darasa, mponzi mvuta sigara namkumbuka. Kapinga yule mfupi mwl wa english? Alinifundisha english course, contra nae alikwepo pia msalijwa yule mnoko, fyudo alitusimamia bustani idete
unazikumbuka ATOM? Sifongo, half mile navipata had leo vina exist nilikuwa kule juza kwa sasa ni advanced level only. Cherehani je?
Darasa la kina MAzainda na kina Maswanyia? Fyudo/Msovela namkumbuka, Mpozi nimesikia sijui hatuane!! Mwapinga sio Kapinga sijui kama bado yuko au la!! contra simfahamu!!
 
Nakumbuka kabla mkangwa hajaondoka aliwekwa kitimoto,ilikuja team ya watu wa elimu toka mkoani na wengine walitoka wizarani,wakimuwakilisha waziri wa elimu.
Ishu ilikuwa barua ambayo aliandikiwa waziri toka kwa wanafunzi ila ilikuwa addressed kwa jina lake hvyo ilitua mezani kwake..alikuwa mdogo MK..,Kesho yk alipanda assembly akasema kauli moja..'USIOMBE KUKUTANA NA SIMBA ALIYEJERUHIWA' .,then akashuka kuelekea ofisini kwake tukasikia mlango ..Mbaaaaa..akapanda Ugurumoo..
Namkumbuka MNOTI.,RIP kamanda wa ukweli.,alikuwa kichwa PCM kutoka kambi ya wasela,jamaa alikufa kwa risasi,kifo chake ilikuwa kama muv,maana roomates walimtengenezea mchoro wa ukweli,.
Nakumbuka jinsi viongozi wa social walivyokuwa wanapatikana,kigezo utoz yaan pamba,kuhudhuria disco,fuba,anahudhuria kanteen,handsome...
Nakumbuka mabifu ya chuaaaaaaa na o levo,cjawah kuona popote.4m5 hakuwa na haki ni kama 4m1.
Nakumbuka siku watoto wa dr wa ipamba waliokuwa wanasoma mkwawa walivyovuliwa nguo,..halafu usia wa mkangwa kesi ilipomfikia akasema 'USIANZE KURUSHA MAWE WKT WW UPO KWNY NYUMBA YA KIOO'
Mama mingoiiiii.,Aboy mzee wa chemistry anamkumbuka sana huyu,kila centre aliyokuwa anafundisha ilikuwa lazma amtaje..pc n love Ambrinyo,cjui upo wap...
Natamani niendelee...

Yaani wewe am sure tukitoa mask tunafahamiana vizuri kweli!! Hakuna mtu aliyesoma kipindi hicho hakuguswa na Msiba wa Musa! I remember tulikuwa tukishinda nae pale room no 81 Mandela karibu na ofisi ya HP, Nakumbuka alivyoongoza kushangilia kwenye ligi ya DON BOSCO enzi hizo siku ya fainali tukatolewa na Mkwawa, kipindi anafariki mimi pia nilikuwa kiranja..... You remind so far!!

Kwenye ile Tume iliyokuja kumkagua Mkangwa katika random selection yao nilikuwemo na nilikaa jirani sana na Musa pale DH. ilikuwa siku chache kabla ya kifo chake!!

Nawakumbuka o level fulani siku ya graduation wakaimba rap maalum ya kumkumbuka Musa, karibu watu watoe Machozi!!
 
Yap ni kweli tukitoa mask tutafahamiana kama si kwa majina then kwa sura.Na kama ulikuwa leader basi ni rahisi zaidi.
Niliziona picha za Tosa last week humu jamvini.., dah nilisikia raha ajabu..
Niliichek half mile,nikakumbuka maji yakiwa ya shida ...aiseee.., ni noumeer,jamaa wanakata gogo mpaka juu yani juu kabisa ya plate ya choo.Mtu anaweka gazet kuzuia kinys cha mwenzie halafu anashusha mzigo..Usiombee zamu ya usafi iwe yako,.yaani inspction ijumaa halafu zam ya soja au marehem Sika..Hawakuwa wanaelewa hbr ya maji wao wanataka usafi..
 
pamoja sana mkuu,nafurah sana nnapokutana na wanatosa.,humu jamvin,fb na pahala pengine.
Itabidi tujikumbushe matukio makubwa,ya ucheshi na vituko vilivyojiri miaka ile ndani ya Tosa.
 
Yap ni kweli, picha hizo kuna mtu aliziweka FB so nikaona wengine kule hawaendi ni vyema pia nikazileta hapa......

Nakumbuka sana; Soja akianza zamu...... anawaamshwa mwenyewe saa kumi na moja alfajiri... ole wako usiamke!! Sika akianza zamu alikuwa anapiga kengele ya emergency na kutangaza "I AM THE HEADMASTER OF THE WEEK"......" I KNOW I WON'T KILL YOU BUT YOU WILL SUFFER" JUSTOBSERVE THE SCHOOL REGULATIONS!
 
alhamisi ilikuwa wali nyama...,hapo sasa..kakutane na mchuzi wa nyama,umechanganywa na makabeji yaliyokatwa na panga aisee.
Siku ya matunda kama huna msuli huonji,..fighting ilikuwa kila sehem ni meza chache sana zilikuwa zimestarabika
 
Mie niliondoka kabla ya routine ya matunda kuanza.... ila jumatano nyama, j4 na ijumaa kande
 
Nakumbuka kabla mkangwa hajaondoka aliwekwa kitimoto,ilikuja team ya watu wa elimu toka mkoani na wengine walitoka wizarani,wakimuwakilisha waziri wa elimu.
Ishu ilikuwa barua ambayo aliandikiwa waziri toka kwa wanafunzi ila ilikuwa addressed kwa jina lake hvyo ilitua mezani kwake..alikuwa mdogo MK..,Kesho yk alipanda assembly akasema kauli moja..'USIOMBE KUKUTANA NA SIMBA ALIYEJERUHIWA' .,then akashuka kuelekea ofisini kwake tukasikia mlango ..Mbaaaaa..akapanda Ugurumoo..
Namkumbuka MNOTI.,RIP kamanda wa ukweli.,alikuwa kichwa PCM kutoka kambi ya wasela,jamaa alikufa kwa risasi,kifo chake ilikuwa kama muv,maana roomates walimtengenezea mchoro wa ukweli,.
Nakumbuka jinsi viongozi wa social walivyokuwa wanapatikana,kigezo utoz yaan pamba,kuhudhuria disco,fuba,anahudhuria kanteen,handsome...
Nakumbuka mabifu ya chuaaaaaaa na o levo,cjawah kuona popote.4m5 hakuwa na haki ni kama 4m1.
Nakumbuka siku watoto wa dr wa ipamba waliokuwa wanasoma mkwawa walivyovuliwa nguo,..halafu usia wa mkangwa kesi ilipomfikia akasema 'USIANZE KURUSHA MAWE WKT WW UPO KWNY NYUMBA YA KIOO'
Mama mingoiiiii.,Aboy mzee wa chemistry anamkumbuka sana huyu,kila centre aliyokuwa anafundisha ilikuwa lazma amtaje..pc n love Ambrinyo,cjui upo wap...
Natamani niendelee...

kwenye red unamaanisha Mussa Mohamed au?
possible tulimaliza wote 4m6 2003, jamaa aliuawa 2months before NECTA, kidogo ningeingia msala wakutaka kuhadaa ofisi kwa kwenda kuomba ruhusa kwa jina lake badala yake Juma bundala akauvagaa mkenge, loh!
 
NIMEWAACHA MMEONGEAAA ITS MY TURN NOW:

KWANZA MI NAKAA KOTA ZA TOSA. TOKEA ZAAMANI XANA.
MTOTO WA POSTA MASTA WENU.. AHAAAAGHHHAHHA
T.M.O

TOSA WAMEFUTA O-LEVEL NA WAMEONGEZA COMBINATION ZA ARTS. HGK HKL HGE etc
 
halafu Mkuu inawezekana tunafahamiana saaaaaaaaaaaaaana!! kwenye huo msiba baada ya kutangazwa pale Assemble tulikuwa tumekaaa pale room Number 81 Mandela alipokuwa anapenda kushinda Mussa, Tukiwa na Yusuph Makereketa, Deo, na wengine siwakumbuki kwa haraka.....
 
NIMEWAACHA MMEONGEAAA ITS MY TURN NOW:

KWANZA MI NAKAA KOTA ZA TOSA. TOKEA ZAAMANI XANA.
MTOTO WA POSTA MASTA WENU.. AHAAAAGHHHAHHA
T.M.O

TOSA WAMEFUTA O-LEVEL NA WAMEONGEZA COMBINATION ZA ARTS. HGK HKL HGE etc

We katoto umekua kufikia hapa??!!! nilikuacaha upo shule ya msingi!!!
 
Yap ni kweli tukitoa mask tutafahamiana kama si kwa majina then kwa sura.Na kama ulikuwa leader basi ni rahisi zaidi.
Niliziona picha za Tosa last week humu jamvini.., dah nilisikia raha ajabu..
Niliichek half mile,nikakumbuka maji yakiwa ya shida ...aiseee.., ni noumeer,jamaa wanakata gogo mpaka juu yani juu kabisa ya plate ya choo.Mtu anaweka gazet kuzuia kinys cha mwenzie halafu anashusha mzigo..Usiombee zamu ya usafi iwe yako,.yaani inspction ijumaa halafu zam ya soja au marehem Sika..Hawakuwa wanaelewa hbr ya maji wao wanataka usafi..

sorry kaka MLWALE (SOJA) alifariki Dunia pia. since 2009.
 
ile kumwaga flaaaaaaaaaaaaaaaash
dogo umekua kweli aisee, loh! Postermaster alikuwa best yangu sana yule mzee, nikiishiwa naenda kukopa kwake coz anajua mda wowote kitu kitatema posta, hahahahahahaha!
hivi ugurumo na msangi wakowapi?
 
waliama zamani kidogo.
hafu data zao sinaga kabisa.
ila waliama kitambo kitamboo
 
Mkangwa aliletwa MORO SEC.alipiga mwanafunzi kibao kimoja mpaka akatoka alama za vidole na kesho yake hakuja shule kwani alidai taya lilikuwa linauma
 
Back
Top Bottom