Kwa waliosoma shycom kidato cha 5 an cha 6 kati ya mwaka 1994 mpaka 1997 mko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa waliosoma shycom kidato cha 5 an cha 6 kati ya mwaka 1994 mpaka 1997 mko wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Malyenge, Apr 17, 2012.

 1. M

  Malyenge JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 4,458
  Likes Received: 1,384
  Trophy Points: 280
  Wakuu, na leo nimejitokeza tena kuwakumbuka na kuwataka waliosoma SHYCOM, (SHINYANGA COMMERCIAL INSTITUE) mnamo miaka ya 1994 mpaka 1997 tuwasiliane. Atakayeliona tangazo hili aache namba yake ya simu au aniandikie katika anuani ya barua pepe hii hapa: mmalyenge@yahoo.com.
   
Loading...