Kwa waliosoma economics naomba ufafanuzi wa dhana hizi

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,409
2,263
Naomba ufafunuzi jamani wa some terms of game theoroea kwa ufasaha sana mana pale udsm hakuna lecturer anayejua hii topic kisawasawa wote wanapapasa tu na inaonekana walikalili tu.


1. Nash equilibrium na jinsi inavyofanya kazi. Naomba ufafanuzi kwa kiswahili.

2. Zero sume game

3. Pay off matrix

4. Prisoner's dilem

5. Cetreburg move

6. Simultaneous move

7. Sequential move

8. Price war
 
Jaribu kum tag mchumi daraja la kwanza, aka mchumi wa tozo.....bila shaka atakupa udadavuzi murua.
 
Back
Top Bottom