Kwa waliosoma buluba sec-shinyanga

Makunga

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
771
551
Amani kwenu popote mlipo watoto wa Yegela,jaman tujuane basi,mm ni mmoja wa waliosoma pale nimeamua kuvunja ukimya kwa kuwatafuta.
 
Duh, jaribu bahati yako
Ujue buluba ilikuwa shule ndogo sana.
Afu plus ukijijini
wachache sana utawapata hunu

Jumlisha akina shoma na kundi lake waliolewa hata kabla ya kufika fomu 2
Wakahamia Ngulyati, watakuwa wanaijua jf kweli?
 
halafu we kongosho hv ukoje,buluba ni chama kubwa imetoa wengi ht humu najua wapo weng tu manake hd miaka ya elf 2 ilikuwa mtu ukisoma pale unaoneka matawi ya juu.
 
halafu we kongosho hv ukoje,buluba ni chama kubwa imetoa wengi ht humu najua wapo weng tu manake hd miaka ya elf 2 ilikuwa mtu ukisoma pale unaoneka matawi ya juu.

Haijui hiyo shule huyo hata hajui kama ilikuwa shule ya watoto wa matawi ya juu. Mie nilisoma Buhangija bana
 
Duh, jaribu bahati yako
Ujue buluba ilikuwa shule ndogo sana.
Afu plus ukijijini
wachache sana utawapata hunu

Jumlisha akina shoma na kundi lake waliolewa hata kabla ya kufika fomu 2
Wakahamia Ngulyati, watakuwa wanaijua jf kweli?

Huijui hiyo shule hata Shinyanga inaonyesha hupajui
 
He he he he, shinyanga ipi?
Bariadi? Kahama? Shy mjini? Meatu au Bariadi?
Ni bora niishi kama nakoishi huku kahama kuliko shy mjini, pamepauka mno.

Buluba na Buhangija, naah, uhuru YES.

Huijui hiyo shule hata Shinyanga inaonyesha hupajui
 
halafu we kongosho hv ukoje,buluba ni chama kubwa imetoa wengi ht humu najua wapo weng tu manake hd miaka ya elf 2 ilikuwa mtu ukisoma pale unaoneka matawi ya juu.

wako wapi sasa hao Chama KUBWA?
Au na mimi niwaite alumni wangu wa Kibaha Sec. halafu uone viroja?
By the way hata kijijini kuna wajanja wake,
ambao mlikuwa nyinyi.
 
Haijui hiyo shule huyo hata hajui kama ilikuwa shule ya watoto wa matawi ya juu. Mie nilisoma Buhangija bana[/QU Salute kwako mkuu,buhangija ndo home kbs na enzi hizo tulikuwa tunasali hapo buhangija parokiani,nimejisikia aman sn yan km vile nipo shy.
 
wako wapi sasa hao Chama KUBWA? Au na mimi niwaite alumni wangu wa Kibaha Sec. halafu uone viroja? By the way hata kijijini kuna wajanja wake, ambao mlikuwa nyinyi.[/QU poa mkuu,tena naenjoy sn kuwa mjanja wa kijijini.
 
Lalago shida mno Hata maji ilikuwa problem Nilipelekwa huko, nikagoma baada ya siku moja. Njoo na jembe, ndoo ya bati, fyekeo. Afu story za uchawi ndo mwake, kila siku watu 'wametulijwa'[/QU Duh,umenifurahisha sn.Hadi saiv mambo ya kutulijwa,mchenya na masumule yapo kama kawa!
 
He he he he, shinyanga ipi?
Bariadi? Kahama? Shy mjini? Meatu au Bariadi?
Ni bora niishi kama nakoishi huku kahama kuliko shy mjini, pamepauka mno.

Buluba na Buhangija, naah, uhuru YES.

Na Ngokolo nyuma yake, General Hosp mbele yake mbona hutaji ?
 
Hebu wewe ulienzisha topic hii nitajie maana ya jina la hiyo shule.Ah Buluba ndio kitu gani hicho?Hivi shule hiyo ishawahi kutoa divisione one kweli.
 
Back
Top Bottom