ze farmer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 922
- 1,802
Ni imani yangu kuwa wote mko salama...
Pasina shaka kuna wahusika humu wa huu uzi. Wote mliosainishwa mikataba na kuanza kazi bila mshahara na wengine mkitoka sekta binafsi kulitumikia taifa kwenye taasisi za serikali na baadaye kusimamishiwa nafasi zenu kwa ajili ya kuhakiki watumishi hewa niwape pole.
Ukweli ni kuwa nafasi zenu zilishafutwa pale utumishi hamna chenu, kusubiria kuwa mtaitwa mnajidanganya.
Kipaumbele sio AJIRA tunashughulika na madaraja na flyover na midege (Bombardier) mpaka 2019. Kama unashamba au sehemu ya kujishikiza (kwa namna yoyote ile) basi endelea kujishikiza..
Please hii sio taarifa rasmi, rasmi inawajieni soon.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.