Kwa walioolewa tu: Mkuyati wa kike - kuamsha hisia za mwanamke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa walioolewa tu: Mkuyati wa kike - kuamsha hisia za mwanamke

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ashangedere, Nov 16, 2010.

 1. A

  Ashangedere Senior Member

  #1
  Nov 16, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa wakinamama/dada MLIOOLEWA, nimeipata mahali nikaona nisiwe mchoyo pengine kuna wanaohitaji.

  1. Chukua kungu moja, kisha isage. 2. Chemsha kipande kidogo tu cha gamba la mti unaoitwa MJAFARI. 3. Tia unga wa kungu katika maji hayo ya mjafari (kikombe kimoja). 4. Tia asali kijiko kimoja kidogo na tangawizi robo kijiko na ukoroge. 5. Yanywe maji hayo masaa matatu kabla ya "mechi". 6. Kabla ya gemu oga na jifukize udi. 7. Saa moja kabla ya dimba sambaza kidogo ua linaloitwa muasumini (jasmine) kitandani. TAHADHARI: kama una vidonda vya tumbo tia maziwa katika hayo maji (kungu bila maziwa haiwafai watu wenye ulcers).
   
 2. F

  Ferds JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 133
   
 3. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,370
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sijawahi kuuona/kuusikia huo mjafari...
  unapatikana wapi?
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  :tape::tape::tape:.......women talk!
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,087
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  samahani sijaolewa/ sijaoa..
  lakini duuuhh hiyo hapo juu kazi sana...
  na vipi jamaa akija mapema nyumbani au kabla ya masaa 3 kuisha
  na anataka kuanza match .........
  utasema ngojea "Tangawizi na asali zijichanganye"....
  mtaelewana kweli??
   
 6. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,370
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  :happy::happy:
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Nov 17, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Ina maana mambo haya yawe yanafanyika kila mechi au ni mechi special? Maana naona kuna duration ya masaa 3, sasa kama mzee anataka kabla ya hapo inakuwaje au ikwa ni usiku mzee anakuhitaji?
   
 8. Binti Mimi

  Binti Mimi New Member

  #8
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha lol saafi :smile::smile-big:
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,945
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  Good to have dreams in life sometimes..
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  hehehe asante lakini hiyo miti mingine ndo kwaaanza nasikia( Viagra ya kike )home made
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  hahahaha unakuwa busy na kumwandalia chakula kumwaga maua kitanda nk nk :smile:
   
 12. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kama ana KISUKARI JE??
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,087
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280

  mmhhhh mwaya hiyo yakumwaga maua na kuandaa chakula , kumfanyia massage hizo afathali...
  yakusubiria masaa 3 hata mi siwezi ...
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 81,336
  Likes Received: 42,540
  Trophy Points: 280
  Mpaka umalize zoezi hili utakuwa hoi bin taabani na wala hamu ya hilo tendo huna tena...........................it is too much..................bora utumie njia za asili tulizopewa na Mola mwenyezi Mungu.........................
   
 15. L

  Loveness Member

  #15
  Nov 17, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmh! kazi kweli kweli
   
 16. Y

  Yasini_waziri Member

  #16
  Jan 8, 2013
  Joined: Dec 31, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha niimani yangu wengi mlitumia tupeni majibu yenu sio siri mimi nilifungwa bao tatu kwa mbili na red kadi mpira ulikwisha dk ya 30
   
 17. m

  my web JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2013
  Joined: Dec 23, 2012
  Messages: 1,603
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kongi au gines bia mbili za moto
   
 18. mkuyati og

  mkuyati og JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2013
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 708
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  mkuyati original niko hapa, option zingine zote feki.
   
 19. akenajo

  akenajo JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2013
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 1,564
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Humu mie simo ni kwa ajili ya female gender only
   
 20. neggirl

  neggirl JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2013
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 4,832
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Akili zako changanya na za mbayu wayu!

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
Loading...