Kwa waliokwisha zaa , ama kutia mimba, incase huko popote karibu kama msindikizaji . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa waliokwisha zaa , ama kutia mimba, incase huko popote karibu kama msindikizaji .

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Sep 1, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Kama elezo la heading lisomekavyo , Sredi hii inawalenga wanawake (wamama) & wanaume (wababa).
  Kwa kusema hivyo nina maana ndiyo wawezao nisaidia kunipa mustaqbali wa agenda husika.

  Iko hivi ,
  mapema leo tukiwa tumekaa kimazungumzo , tukiwa watu 6 wanaume wa4 na wanawake wawili. Kati ya hao wanawake mmoja ameshazaa, na wa pili bado hajazaa.

  Katika mazungumzo yetu pakazuka mabishano, mmoja kati yetu sisi wanaume akasema (namnukuu)
  "Mnajua kua siku yeyote unapokua tendoni , inapofikia kwenye Mshindo then ukakuta/ukatambua mshindo wa siku hiyo utamu wake over normal capacity , (Ngoma inogile zaidi ya zaidi ) basi jua kukithiri huko kwa utamu ni ashirio kwamba mimba imetunga, tena kukithiri huko kwa utamu hua si kwa mwanaume pekee, hutokea kwa both sides"

  Kauli hiyo haikupokelewa kiuwepesi na wote tuliokua pale yule mdada ambae hajazaa hakua na mchango, na yule aliezaa alidai hana hakika na hilo na atalifanyia reserch , wanaume wawili hatukua na hakika pia nasi tukabaki kwa kauli ya reserch, mwanaume mmoja akamsupport mtoa hoja.
  Wahusika nidadavulieni hili.
  Nawasilisha .
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  si kweli, will be right back.
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,735
  Likes Received: 896
  Trophy Points: 280
  me napinga,mana mara kibao huwa tunafikia peak yenye utamu ajabu lakn mimba haingii. . .
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,006
  Likes Received: 8,457
  Trophy Points: 280
  Si kweli kabisa na ingekuwa kweli tunge kosa pakukanyaga maana watoto wangekuwa wengi sana!
   
 5. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Duh.....wajameni!! Lol
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,581
  Likes Received: 742
  Trophy Points: 280
  Mimi hata sijui nilipata mimba siku gani, maana utamu is more or less the same. Hupungua tu kama una vitu vinakusonga kwenye mind!
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Labda!
  Kwani , hata mie nimeshatia mimba but still sijalitambua hili .
   
 8. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,023
  Likes Received: 400
  Trophy Points: 180
  Siku zote nafikia utamu unaotakiwa nikiwa kwenye lile tendo. Ila siku niliyoshika mimba nilipatwa na hisia fulani tofauti, hivyo naikumbuka vizuri nilivyonasa..pengine pia nafuatilia vizuri mzunguko wangu ambao ni consistency, siku 28.
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Ni hivi Charmy huwezi kuijua rangi nyeupe, wakati hakuna rangi nyeusi, kijani, blue n.k , kanuni ni uzitambue rangi zote then ndiyo uzitofautishe! Hii ni ipi na hii ni ipi !
  Mathalan huwezi kujua hili ni joto wakati hujaijua baridi !
  Na huwezi jua hii ni kubwa wakati ndogo haipo!
  So far kama wewe wadai wafika kwenye Kibo (peak) ya ukweli wakati hujadunguliwa mimba , utaijuaje peak ya upande wa pili ?
  Labda uniambie ushawahi tungishwa mimba na hivyo waijua miamala yote miwili .
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  sasa itabidi mr wako umuulize lini alisikia utamu na wewe ukapata mimba ili tupate jibu la uhakika..
   
 11. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,931
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Miamala yote 2...
   
 12. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 22,890
  Likes Received: 2,056
  Trophy Points: 280
  Ahaaa!!
  Leo nimekukamata!
   
 13. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 22,890
  Likes Received: 2,056
  Trophy Points: 280
  Hapana Jdgmnt!!
  Me siku zote huwa nasikia raha na huwa hakuna hata mimba ilinayoingia.
  Ila kwa dogo wangu huyu nilihisi kama mwili wangu umekufa ganzi baada ya ejcltion ya Man.
  After 2 weeks nikatia maguu hospitl nikaambiwa nimenasa.
   
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,006
  Likes Received: 8,457
  Trophy Points: 280
  Wangu leo nime kumiss sana!
  Wangu kwani nimesema uongo?

   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,006
  Likes Received: 8,457
  Trophy Points: 280
  Wangu najua unajaribu kuunganisha matukio lakini sidhani kama kuna mahusiano ya kufika climax na mimba!

  Hivi unajua mimi naweza nika fika wewe bado? Na unaongelea upande gani?

   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  My dear Modo , hasa hapa umen'changia mbelewele! Mahindi ukabaki nayo mwenyewe! Uchoyo gani huo? Hata wa kupiga domo tu? Hunao kweli ?
   
 17. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Yap kuna ukweli asilimia kubwa sana according to my 9 times experience...
   
 18. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 22,890
  Likes Received: 2,056
  Trophy Points: 280
  Hapana wangu.
  Nipo Masai Club njoo.
   
 19. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 22,890
  Likes Received: 2,056
  Trophy Points: 280
  Hebu tusahihishane hapo kwanza.
  ili upate jibu kamili.
   
 20. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Thanks, kwa kauli hii nimeanza kukusanya data!
   
Loading...