Erick tryphone
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 387
- 84
Leo nimeongea na mtoa huduma kwa wateja wa bodi ya mkopo HESLB na kusema kama umekosea kujaza fomu yako, mfano umekosea kujaza tarehe na mwaka wa kuzaliwa au taarifa zozote na tayari umesha print, unaweza ukaandika baarua yako ikieleza tatizo lako kisha ambatanisha na fomu ya maombi ya bodi ya mkopo baada ya hapo unaweza kuituma HESLB.
Kwa taarifa zaidi piga +255 22 550 7910
Kwa taarifa zaidi piga +255 22 550 7910