Kwa waliokosea HESLB

miksel

Member
Jan 5, 2011
63
6
Wakuu tungependa kufahamu kwa waliokosea kujaza hizi form za mkopo.

Kama mimi nimekosea kujaza kata itakuaje hiyo?
 
Kuna mtu amekosea kujaza jina la chuo alichosoma diploma inakuwaje hapo?
Lakini unakoseaje chuo ? Wakati ukiweka Reg no za chuo inaleta matokeo yake kutoka NACTE? ANYWAYS sjaelewa ..maana kwa chuo ni hivyo
 
Back
Top Bottom