Uliemnukuu aidha wivu unamsumbua au anawaza anavyoweza. Anadhani fedha ziko kama kitu kisichobadilika ukikiacha leo kesho utakikuta vilevile. fedha hunyumbuka (elastic) kwa kuongezeka na kupungua.
Mtu kwa mfano kasomesha mwanae kwa hela za BMK au kwa kukopa wakati afya na umri unamruhusu - kesho karudi alikotoka (back to square one) na mtoto au watoto ndo hao wanaingia chuo kikuu - ataomba mkopo in anticipation watoto wenyewe watakujaurejesha.
Hiyo sio sababu - waangalie kipato cha sasa cha mzazi na sio historia ya kipato cha mzazi.
Sitaki kusikia upuuzi wa kuzungumzia suala la elimu ya juu ifikapo 2015 wakati wa kampeni kisa mnatuomba ajira. W,a.p.uzi wakubwa, watu tumekosa mkopo siku ya siku mnakurupuka eti fyofyofyofyo......................... Sitaki kusikia. Kama mnaweza fanyeni leo wakati wa shida zetu siyo mtuletee upuuzi, wa.p.mba.vu na wa: pu.uz wakubwa
Yaan am an orphan sina baba wala mama nimeomba mkopo hii mara ya pili nimenyimwa sijui vigezo vyakupata mkopo ni nin ,seariously am hurting...am staying with my aunt anasomesha watu wa nne wote vyuo vikuu...hii ni fair kwel nime wapa 60000....na12000,yakutumia hii sikutuibia....kama vipi wawe wana list watu wao wanaotakiwa kuomba nakupewa mkopo
kipato cha sasa cha mzazi wako watakipataje??....hawawezi kumjua kila mtu....na watu hudanganya sana kwenye zile fomu...ndio maana wanaegemea kwenye facts kwasababu huwez kudanganya shule ulizosoma.....
sio tabia nzuri