Kwa waliokosa mkopo

stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
Wale waliokuwa wanadai mkopo na kukutana wizara ya elimu, kesho wanakutana kwa waziri wa elimu saa 1 asubuhi, kiongozi ameniambia nitume kwa watu 10, nadhani kwa njia hii ujumbe umefika kwa watu zaid ya 10.

Naomba mumpe ushirikiano
 
ungewatumia na facebook kaka maana humu marachache watu kuangali
 
Mkuu mimi sijakupata vizuri jaribu kufafanua vizuri thread yako wengi ni wahanga, mada hii wanaifuatilia kwa makini
 
Mungu awatangulieni mpate mkopo ila mkumbuke kuilipa hiyo mikopo mkimaliza shule zenu
 
Inaonekana mko mikoani ndio maana hamjanielewa, na kama mko Dar basi mmeshakubali matokeo.
 
Hamja susa tu,jamani zile mbwembwe za kuandamana,hakieleweki mpaka tupate haki yalikua maneno matupu yani watanzania bwana.huyo waziri si ndio alishushua watu mwanzo anaona raha kuwa enjoy na kutorture
 
Inaonekana mko mikoani ndio maana hamjanielewa, na kama mko Dar basi mmeshakubali matokeo.
Ina maana umeleta hii taarifa kwa walioko Dar peke yao? Watanzania mbona hatuna upendo? Wa mikoan wao hawapaswi kujua kinaendelea nini? Take your time kama huwezi kuueleza uma kwa kina siyo kuleta taarifa zisizo na kichwa wala miguu hapa.
 
Stan b na vijana wengine katika hii nyuzi, tazameni mlivyoandika na tazameni hili angalizo kutoka kwa Invisible:

user-offline.png
Invisible

Robot
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png


HIVI:

Kuna vijana wamejisajili JF (nadhani ni wachanga sana) na wanatumia lugha za SMS kwenye kuandika. Tunaomba mkiona posts hizo mbonyeze REPORT button ili tuweze ku-edit iweze kusomeka na kueleweka.

MFANO:

Cc wa2 wa TZ 2napenda kucngzia shda 2 wkt ha2ji2mi na ndo mn TANESCO wana2katia umm kabla ha2jachaj cm ze2.

Sasa lugha hiyo hapo juu si ya ki-JF. Tuwasaidie vijana wetu waandike vema, wabaki kwenye mstari sahihi
 
Ninaomba msaada wa kujulishwa wale waliokutana na waziri leo wameambiwa nini?mkopo upo au hamna,kwa nini aliwaita?tafadhali kama kuna mtu anataarifa
 
mkopo upo we jipange hela ya kutosha kamilisha usajiri chuoni,then kuna form zinakuwepo hapo kwa chuo,,,tutapata tu kudadadadadek
 
Pigeni kelele, mkichoka nendeni mkatafute tempo mwakani tena mjaribu bahati yenu.
 
Kuna vijana wenzangu hapa chuoni udsm tulionyimwa nao mkopo wapo kwenye harakati za kurejea kwao baada ya jitihada zetu za kukosa mkopo kugonga mwamba na siasa uchwara kuwa nyingi. Na eti kama umejilipia hakuna nafasi ya kufikiriwa kupata mkopo hata ukikata rufaa. Je kama ulikopeshwa ulipie ili uishikilie nafasi wakati ukisubiria hatma ya kupewa mkopo ama kukata Rufaa inakuaje? Hii ndo serikali Legelege.
 
Back
Top Bottom