Kwa walioko marekani msaada kuhusu ubalozi wa Tanzania

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
12,687
22,178
habari za kutwa wakuu naomba kuwauliza wadau waliopo marekani hivi ubalozi wetu nchini marekani unalindwa kama unavyolindwa ubalozi wa marekani nchini Tanzania ?? eneo la ubalozi wetu ni kubwa kama la kwao huku kwetu (ata kama sio kubwa sana) je kuna bustani nzuri kama ilivyokua kwao huku kwetu? walinzi was ubalozi au wale wafagia bustani ni wazungu au weusi tu? na kama sio ni sahihi tunajipendekeza kwa kuwatunzia cha kwao tu na chetu hawakithamini

naomba kuwasilisha kwa wamarekani watanzania

#yungTemPeR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom