Kwa waliofungishwa ndoa za shida na raha Kanisani, Mnatakiwa kurudia upya

Ktk Kitabu Cha Yakobo1:5-12, Inasema Mtu Akijaribiwa Na Asiseme Anajaribiwa Na Mungu, Maana Mungu Hajaribiwi Kwa Maovu/mabaya/matatizo.

Maana Yake Ni Kwamba Mungu Hawezi Kukujaribu Kufanya Dhambi Au Umkosee Yeye, Hiyo Ni Kazi Ya Shetani.

Kumbuka Pale Unaweka Agano, Yaan Unapiga Muhuri Ktk Roho Kwamba Hayo Yote Unayapokea.

Na Ndio Maana Ni Muhmu Sana Kujua Unatamka Kitu Gani, Maana Mtu Atakula Matunda Ya Kinywa Chake.

kajifunze upya tofauti ya TEXTUAL na CONTEXTUAL analysis!
Hizi habari zenu za kuchomoa kamstari kamoja na kukapa maana kwa utashi wenu,kila mtu humu angekuwa Mchungaji/Mhubiri
 
Ebu nitajie nabii au mtume au mfalme yeyote kwenye biblia ambaye hajawahi kuonja shida na dhiki.na tena kizazi chetu hatuna dhiki tuna vishida vidogovidogo wenzetu walilazimika kukatwa vichwa ili kuingia mbinguni au kuchomwa moto
 
Ninaposema Kurudia, Haina Maana Kuwa Ni Kufanya Harusi Au Kualika Tena Ndugu Na Jamaa, Bali Tunatengua Hayo Maneno Ya Shida,ugonjwa,nk.
Na Hapa Hatubadili Cheti Cha Ndoa, Ni Maombi Mafupi Tu Ambayo Yanaweza Kufanyika Popote Knsn,nyumbn.
 
Peleka kwenye jukwaa la biashara na matangazo madogo madogo
 
Illovo

Ni vyema ukatoa location badala ya namba za simu, Maana wakubali au wakatae Ndoa nyingi zimeacha neno kwenye raha na kuhamia kwenye neno shida
 
Last edited by a moderator:
YN. 16:33 SUV

Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.
 
Acha kupotosha watu Ndoa ni jambo la kimwili pia sio kiroho tu.Mbinguni hakuna Kuona na kuolewa tena.

Hao wanaooana wanaishi hapahapa duniani sio Mbinguni.Wana baki na miili hii hii ya damu na nyama.

Wewe ni mtume na Nabii nani?huduma yako inaitwaje? Ulisomea wapi huduma?
Huyu juu hata maana ya Neno theolojia.Hata wewe unachokifanya hapa ni theolojia.Kila anayefundisha elimu ya Mungu unafanya theolojia.

Inategemeana theolojia unayofundisha ni nzuri au ni Mbaya.Kama yako theolojia yako ni Mbovu sana kuhusu ndoa.Not sound,unbiblical na unajifichia eti mafunuo ya Roho Mtakatifu.

Mafunuo yeyote yanayo pingana na mafundisho ya Biblia kwa ujumla wake lazima ya hojiwe.
 
-Nakubaliana nawewe mkuu,ndoa ni jambo la kimwili na ndio maana hata kwenye biblia Paulo anasema:- Lakini kwa tamaa zenu ni bora kila Mume awe na Mke wake mwenyewe na Mke vivyo hivyo,na sote tunajua kuwa tamaa hiyo ipo mwilini.

-Pia tunashauriwa kuliko kufanya uzinzi ni bora kuamua kuoa. Hayo yote yanathibitisha kuwa Ndoa ni jambo la kimwili.
 
Acha kupotosha watu Ndoa ni jambo la kimwili pia sio kiroho tu.Mbinguni hakuna Kuona na kuolewa tena.

Hao wanaooana wanaishi hapahapa duniani sio Mbinguni.Wana baki na miili hii hii ya damu na nyama.

Wewe ni mtume na Nabii nani?huduma yako inaitwaje? Ulisomea wapi huduma?
Huyu juu hata maana ya Neno theolojia.Hata wewe unachokifanya hapa ni theolojia.Kila anayefundisha elimu ya Mungu unafanya theolojia.

Inategemeana theolojia unayofundisha ni nzuri au ni Mbaya.Kama yako theolojia yako ni Mbovu sana kuhusu ndoa.Not sound,unbiblical na unajifichia eti mafunuo ya Roho Mtakatifu.

Mafunuo yeyote yanayo pingana na mafundisho ya Biblia kwa ujumla wake lazima ya hojiwe.

Tatzo Hujaokoka, Ndo Maana Huwez Kuelewa. Na Neno Linasema "Mambo Ya Rohoni Hutambuliwa Na Watu Wa Rohoni"

Kurudia Kufunga Sio Lazima Itangazwe Upya,bali Ninyi Wawili Mnakuja Hata Bila Wasimamizi. Kinachofanyika Ni Maombi Tu Ya Kutengua Hayo Maneno Hasi Kwa Sbb Ktk Mungu Huwa Hatuna Malengo Ya Hasi Na Chanya
 
Toa elimu acha kutoa namba bila elimu. Watu wakielewa ulichofundisha watakutafuta hata kwa PM. Sasa kuweka namba hapa ni kama tangazo na si huduma ya kiroho.
 
Hapana Madam S, Bado Cjaoa. Kigezo Cha Awe Tayari Kuwa Mama Mchungaji Kinawatoa Out.
> Wengi Wanahtj Maana Wanajua Watakuwa Huru,amani,na Furaha Kwa Sbb Hakuna Usaliti Wala Michepuko.

Promo at work huh!!
 
I doubt a person who separate spiritual and normal life! We always expect supernatural miracles to the extent of not recognizing the miracles that's surrounds our normal life. For instance Sleeping at night and waking up in the morning is a great miracle.
A person who say he is in spiritual sense above the normal life is a deceiver and he might be occupied with darkness.
Marriage though it is spiritual, it is physical as well the totality embraces all God's endowment about marriage. Problems in marriages are a must, the issue is to how do you solve them, any body who claims to live without problems lives in a fake life, but the way you conceive those stumbling blocks can differentiate you from the others.
Problems are pleasant coz they are the one which proves the firmness of our foundation, they are the one after I have gone through successively am more than happy.
 
Kama Maandiko Yasemavyo, Mtu Atakula Matunda Ya Kinywa Chake. Kwa Iyo Yale Unayokiri Ndiyo Utakayopata.

Hivyo Ndoa Pia Ni Agano Kubwa Ambalo Pia Linafanyika Kwa Kutamka. Na Yale Unayoyatamka Maana Yake Umeyakubali Yatokee Ktk Maisha Yako.

Kutamka Hasi Na Chanya Si Vema Sana Hasa Ikiwa Agano La Ndoa Lina Nguvu Kubwa Rohoni.

Hivyo Upo Uwezekano Wa Kuyafuta Maneno Yote Ambayo Ni Hasi (magonjwa,umaskini,nk) Na Kutamka Maneno Chanya. Mungu Awabariki Wote Waliopo Kwny Ndoa Ktk Jina La Yesu Kristo.Amen
 
Ktk Kitabu Cha Yakobo1:5-12, Inasema Mtu Akijaribiwa Na Asiseme Anajaribiwa Na Mungu, Maana Mungu Hajaribiwi Kwa Maovu/mabaya/matatizo.

Maana Yake Ni Kwamba
(Mungu Hawezi Kukujaribu Kufanya Dhambi Au Umkosee Yeye, Hiyo Ni Kazi Ya Shetani.)

hapo kwenye mabano inakuonyesha wewe n mtu wa aina gani kwa kukusaidia tu biblia huwa haisomwi kama gazeti au kitabu cha historia unaonekana umekrem mistar ya biblia na kujidanganya kuwa unasoma biblia na kuijua:
Waamuzi 2:20-22 20"mwenyez Mungu akawaka hasira dhidi ya waisraeli, akasema, "kwa kuwa watu hawa wamevunja agano nililofanya na babu zao, wakakataa kutii sauti yangu. 21.Sitayafukuza tena mataifa ambayo yoshua aliyabakiza, wakati alipofariki.
22. (Nitayatumia mataifa hayo kuwajaribu waisraeli) nione kama wairudia njia yangu kama babu zao au sivyo."

je? Na wewe na umeanza kujiita mwanatheorogia ili hali hufahamu maandiko matakatifu au ndio nyie mnao jifanya wachungaj mnaanzsha makanisa kwa kujifagiria na kuwa danganya watu kuwa mmesoma vyuo vya biblia.
Tukika anza kukuulza maswali km wana JF kuhusu chuo unachosoma na mahali kilipo unaweza kutujibu?
 
Kwenda Chuo Cha Biblia Si Kigezo Cha Kuwa Mch.Mm Cjaenda Huko Na Nipo Vzr Kuliko Hata Hao
 
Back
Top Bottom