Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,110
....Mkuu umenikumbusha mbali sana ..umetisha
Pamoko. Ila nishasahau maeneo bana. Afu wanapika sembe vzr sana wallah....
....Mkuu umenikumbusha mbali sana ..umetisha
Bila shaka hii ni barabara kubwa ya kutokea mjini kuelekea mangozi-kabwe.....Maisha kama bongo
Unashauri nifikie wapi? Usalama?
Jamaa ni wabinafsi sana.
Police wao wananidhamu zana(hawaongeki kirahisi)
Ni wachoyo kunyimwa.
Maofisa usalama wao pia ni shida tupu.
Anaweza kukufatilia siku nziima bila kumshitukia maana atajifanya chinga.
Ni marufuku kunywa pombe hadhalani au kuuza pale stand.
Pia moja ya Barabara kubwa za jiji zimepitia stand.
Wanajua sana kupika hasa chai ya maziwa na mikate.
Maisha ni ghali sana zaidi ya hapa j'burg.
Chupa ndogo ya maji ni karibu 1,000 tshs.
Ila ni waaminifu zaidi ya wa bongo.
Hawana ukarimu kwa wageni.
Make sure unapopiga misele mitaani uwe na passport yako na ile karatasi ya njano unayoijaza uhamiaji.
Mabasi yao ni very luxurious hasa yale yaendayo nje (S. Africa Zimbabwe, Congo, Botswana, Kigali, etc)
Nadhani hayo machache yatakusaidia

Sijaelewa 'wachoyo kunyimwa'???
Nime edit mkuu mkono uliteleza, si unajua tena usingizi na uchovu wa mizunguko ya kubeba box.
Mkuu basi mi nilipokelewa tofauti.
Mabasi... Juldani ni shida
Inawezekana wewe ulikua na mwenyeji mkuu.
Kiukweli jamaa kwenye usafiri wa mabasi wako vzr sana.
Ila hawana stand wala magorofa.
Nadhani kwasababu ni kama njia panda.Sawa mkuu
Yaani maisha Lusaka ni ghali kuliko Jburg? Why?
Jamaa ni wabinafsi sana.
Police wao wananidhamu zana(hawaongeki kirahisi)
Ni wachoyo sana.
Maofisa usalama wao pia ni shida tupu.
Anaweza kukufatilia siku nziima bila kumshitukia maana atajifanya chinga.
Ni marufuku kunywa pombe hadhalani au kuuza pale stand.
Pia moja ya Barabara kubwa za jiji zimepitia stand.
Wanajua sana kupika hasa chai ya maziwa na mikate.
Maisha ni ghali sana zaidi ya hapa j'burg.
Chupa ndogo ya maji ni karibu 1,000 tshs.
Ila ni waaminifu zaidi ya wa bongo.
Hawana ukarimu kwa wageni.
Make sure unapopiga misele mitaani uwe na passport yako na ile karatasi ya njano unayoijaza uhamiaji.
Mabasi yao ni very luxurious hasa yale yaendayo nje (S. Africa Zimbabwe, Congo, Botswana, Kigali, etc)
Nadhani hayo machache yatakusaidia
Mmmhh... mbona stendi ipo mjini kati km kisutu enzi hiyo? Ukiwa stendi ni jirani na Zanaco hq.
Sina uhakika na nidhamu ya police wa mijini huko zambia kwa maana ya kutopokea hongo.lkn wale wa highway km kutoka tz kuingia zambia kuna mageti na wanachukua hongo kishenzi.
Yes stend yao ipo ktk kama kisutu. Na hiyo Zana,(TANESCO) yao ndio jengo lefu kupita yote pale town, sijui kwa sasa.
But pia Barabara yao moja Kubwa imepita ktkt ya stend.
But ni jiji ambalo lilitakiwa liwe zaidi ya Dar kutokana na muingiliano wa watu.
Ni kweli mkuu, ndio maana mie nikaongelea wa Lusaka.Sina uhakika na nidhamu ya police wa mijini huko zambia kwa maana ya kutopokea hongo.lkn wale wa highway km kutoka tz kuingia zambia kuna mageti na wanachukua hongo kishenzi.
Ahaa kumbe, au nimeifananisha na Zesco!!!Kumradhi. Zanaco nadhani ni benki ya makabwela. Tena mmiliki ni hawa hawa RABO Bank wa NMB yetu. Afrika shida zetu hizo hizo
Ila uombaji wao ni kama wanalazimisha utoe japo kiungwana flani. Si kama wa jirani zetu kaskazini hapo.
Mmmhh... mbona stendi ipo mjini kati km kisutu enzi hiyo? Ukiwa stendi ni jirani na Zanaco hq.
Sikua na mwenyeji. Ila siku moja tu nkawapata kibao!
Kuhusu bei za vitu nilichanganya kdg. Kweli vyao gharama zaidi maana kwa watumiao mabasi kati ya Tunduma Lusaka, soda na biskuti ni vya Kwanza na Azam za bongo.