Kwa waliochaguliwa UDSM

Adm

Senior Member
Sep 19, 2010
149
45
Habari zenu wanajf,mimi ni miongoni mwa waliochaguliwa kujiunga udsm kwa mwaka huu wa masomo. Naomba kwa yule anaefahamu anisaidie nifahamu chuo kitafunguliwa lini kwa first year?,pia joining instruction forms wanatoa au utaratibu wa kuzipata uko vp?,pia upatikanaji wa vyumba mabibo au main campus uko vip?. Naomba kuwasilisha

Mtatolewa matangazo katika magazeti siku ya kwenda kuchukua admission letter,kuhusu vyumba wanapanga wenyewe ikiwa tayari wanabandika majina na suala la mabibo au main campus ni bahati tu hakuna vigezo labda kwa wenye ulemavu

Senkyu mkuu.

Nina swali mheshimiwa....kuna tetesi nlikuwa naskia bila kuuzunguka mbuyu kupata main kampas itakuwa ndoto....unalolote la kusema juu ya hili..natanguliza shukrani

Hakuna hayo maswala,I dont think so.Campas au mabibo ni zali lako tu,ila huwezi kukosa!!Karibu chuo cha taifa!!

Hata mimi nimepangwa hapo..leo nimeenda kuulizia. Wamesema bado hawajapata list ya waliopangwa kutoka tcu, ila mpaka wiki ijayo wanaamini wataipata list na wataanza kutoa admittion letter. Kuhusu hostels huwa ni zali lako tu, maana wanapanga wao wenyewe thn wanabandika list ktk ubao.

Nina swali mheshimiwa....kuna tetesi nlikuwa naskia bila kuuzunguka mbuyu kupata main kampas itakuwa ndoto....unalolote la kusema juu ya hili..natanguliza shukrani

1st yr huwa wanapewa priority ya kuish main cumpus.

Msiwe na panic, chuo ni kama form1 tu, utapachoka. Nawatakieni maandalizi mema.

Kwa uhakika zaidi tembelea website ya udsm,utapata taarifa zote unazohitaji. Washazitoa,kazi ni kwako

Habari zenu wanajf,mimi ni miongoni mwa waliochaguliwa kujiunga udsm kwa mwaka huu wa masomo. Naomba kwa yule anaefahamu anisaidie nifahamu chuo kitafunguliwa lini kwa first year?,pia joining instruction forms wanatoa au utaratibu wa kuzipata uko vp?,pia upatikanaji wa vyumba mabibo au main campus uko vip?. Naomba kuwasilisha

Acha kuchachawa kijana,pitia University of Dar es Salaam - Home - utapata kila kitu pale! ukicheki mkono wa kulia kuna matangazo yoooooooooooote! trehe 3 october chuo kipo open na joining utaipata pale pale siku ile ile au some days before 3rd october! kupata room ni zali tu! wengine tulipata 1st year 1st semester na hatujawahi kupata tena mpaka tumemaliza!! life linasonga tu! Karibu sana at the Hill of Revolutions,mind u unacho-enjoy wewe kilipiganiwa,ukifika muda wa kuwapigania wengine usione ajabu!!

thanx to all who posted their contributions on this topic. Nimeingia website ya udsm nimekuta majibu ya hayo maswali yote. Kwa anayehitaji details za atembelee www.udsm.ac.tz. NAOMBA KUAHIRISHA MJADALA

Nina swali mheshimiwa....kuna tetesi nlikuwa naskia bila kuuzunguka mbuyu kupata main kampas itakuwa ndoto....unalolote la kusema juu ya hili..natanguliza shukrani

sina hakika na hilo mkuu ila mi nilipata main campus bila ya shida

Nyie madogo mtakao pangwa kule kwe2 kwa wahuni{mabibo}mjiandae kupga shato pori a.k.a SP.

Wewd ni fresher na hujaelemishwa hao wana maana gani kusema chumba main cumpus ni "zali lako tu". We tayarisha laki 3. Mtafute dalali pale. Utachagua mpaka chumba na utaka 3 years. Poleni vijana wa sasa. Mie nilipojiunga hapo nilikuta majina yamebandikwa, kila mtu na chumba atakacholala.

Back
Top Bottom