unatakiwa kuripoti bodi ya mikopo ili wau-activate mkopo wako. ukienda chuo kimya kimya, hawatakua na taarifa na wewe na ustegemee muujizanatumai mu wazima wana jf, please naomba msaada katika hili, mtu akihairisha masomo na alikuwa sponsored na bodi ya mikopo je siku akienda chuo kuendelea na masomo yake pia mkopo ataendelea kupewa au inakuwa vipi apo. msaada plz
dah kwa hiyo wewe baada ya kuandika hiyo barua ulipewa mkoponlikua na issue km hio loan officer wetu aliwacontact HESLB Wakanambia inabidi niandike barua ya kuomba mkopo ipitie kwa dean of student,dean wa shule yako na vice Chancellor barua inatumwa kwa director wa HESLB, lakn ungeongea na loan officer wa chuo chenu angekupa maelezo yanayoeleweka
sababu za kuhairisha zilikuwa na mshiko sana ndo maana wakaniruhusu nipostponeKama unataka kupostpone kwa sababu isiyo na mashiko usijalibu utakosa mkopo utaambiwa nafasi yako imekuwa filled na mwingine
nategemea kucheki jtatu kwa loan officer mana yeye ndo yupo contact nao.......ila ikitokea wakaninyima itakua maajabu maana mi nlisimaa kwakuwa nliumwa ghafla so nkaahirisha mwaka na niliwaarifu kupitia chuo changu so sion sababu ya kutopewa labda watumie ubabedah kwa hiyo wewe baada ya kuandika hiyo barua ulipewa mkopo
bwana kaka ulifanikiwa kupewa mkoponategemea kucheki jtatu kwa loan officer mana yeye ndo yupo contact nao.......ila ikitokea wakaninyima itakua maajabu maana mi nlisimaa kwakuwa nliumwa ghafla so nkaahirisha mwaka na niliwaarifu kupitia chuo changu so sion sababu ya kutopewa labda watumie ubabe