Kwa walio tumia hii modem msaada/ushauri please.

wegman

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
1,460
2,071
Kuna jamaa anataka kuniuzia modem kwenye picha, kwa mtu yoyote ambaye amewahi tumia nataka nijue performance yake ipo poa? Na vipi haichagui line kweli? Ipo poa kwa 4G kweli?
 
Attachments

  • IMG_20160628_093112.jpg
    IMG_20160628_093112.jpg
    113.8 KB · Views: 56
  • IMG_20160628_093033.jpg
    IMG_20160628_093033.jpg
    92.6 KB · Views: 49
kama una mpango wa kutumia 4g itabidi ujue bands zake kwanza. ichomeke kwenye pc kule kwenye dashboard itaonyesha au jaribu manual line za 4g voda na tigo
 
kama una mpango wa kutumia 4g itabidi ujue bands zake kwanza. ichomeke kwenye pc kule kwenye dashboard itaonyesha au jaribu manual line za 4g voda na tigo
Mkuu Hivi bands si ndo hizo zimeandikwa kwa nyuma kwenye hiyo picha ya pili?
 
iko vizuri hyo moderm haina shida ila mm natumia hyo option ya 3G NA Iko kasi mbaya coz lain zangu sio za 4G
 
Ila Kama modem za 4G jumia wanauza za huawei 53000 zinakubali laini zote.
 
Vipi umewahi itumia kaka? Me nimeingiwa na shaka nayo bado naitafakari.
Navyojua modem mpya za Tigo zipo Locked.

Na bei mpya ya hizo modem ni 100,000/=

Labda huu msimu wa sabasaba wanaweza shusha bei fanya kufatilia maana kuwa locked sio shida zinaweza kuwa reversed!
 
Navyojua modem mpya za Tigo zipo Locked.

Na bei mpya ya hizo modem ni 100,000/=

Labda huu msimu wa sabasaba wanaweza shusha bei fanya kufatilia maana kuwa locked sio shida zinaweza kuwa reversed!
Tigo wanauza 100K wenzao TTCL wanauza 80K I think ni same model
 
Back
Top Bottom