Kwa walioolewa na single mama tu?

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
15,795
28,451
Habari zenu wadada na wamama wa JF.

Majuzi kati hapa ofisini kwetu nilikuta wamama 2 wa makamo (45+) wenye familia na wadada wa 2 (33+) ambao wote ni single mamy wafanyakazi wakibishana.

Mada ilkuwa nani akifariki utaumia sana kati ya Mme na Mama, hao wamama walisema Mume anauma zaidi kwa kuwa anakuwa nae kila Siku na unalala nae pamoja na wadada wakasema Mama anauma zaidi?

Je, ni upi ni ukweli?
 
Back
Top Bottom