Kwa walio ndani ya ndoa, je unaweza kuvumilia hii??

Kajuni

JF-Expert Member
May 27, 2009
486
186
Mimi ninae rafiki yangu mzungu (mjerumani) anishi Berlin. Rafiki yangu huyu ameolewa na jamaa kutoka magharibi mwa Uganda (Mbarara). Kwa bahati huyu rafiki yangu wa kizungu alipata mimba na kujifugua mtoto wa kiume (Fini Mugisha).
Siku moja tukiwa home kwao akaja kaka wa huyu mzungu pamoja na mkewe kumpa hongera ya kujifungua. Basi kilichonishangaza ni pale yule mwanamke wa kizungu wa huyo jamaa alipo mwambia mmewe kwamba ana mwonea wivu wifi yake kwa kuzaa na mwafrika kwani nae pia ilikuwa ni ndoto yake na alitamani siku za nyuma kama angepata bahati hiyo..... Je tulio kwenye ndoa hii ina leta picha gani? tunaweza kuvumilia pale wenzetu watakapo tueleza ndoto zao za nyuma?
 
Waliopo kwenye Ndoa Njooooni hapa tafadhali!!!!
 
Kibongobongo ni vigumu,watu hawapendi kusikia hisia nyingine zaidi ya kusifiwa wewe mume ila kwa wenzetu wanaona kawaida tu.Tupo wachache ambao hatuoni shida kwa kuwa mkishaoana ya kale yanakuwa yamepita zikiwemo hizo hisia.
 
Inakereketa masikioni:embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2:
 
Akinambia hivyo namwambia siku hiyohiyo aondoke amfuate huyo mwanaume aliyekuwa anampenda siku hizo!
 
<p>
Mimi ninae rafiki yangu mzungu (mjerumani) anishi Berlin. Rafiki yangu huyu ameolewa na jamaa kutoka magharibi mwa Uganda (Mbarara). Kwa bahati huyu rafiki yangu wa kizungu alipata mimba na kujifugua mtoto wa kiume (Fini Mugisha).</p>
<p> Siku moja tukiwa home kwao akaja kaka wa huyu mzungu pamoja na mkewe kumpa hongera ya kujifungua. Basi kilichonishangaza ni pale yule mwanamke wa kizungu wa huyo jamaa alipo mwambia mmewe kwamba ana mwonea wivu wifi yake kwa kuzaa na mwafrika kwani nae pia ilikuwa ni ndoto yake na alitamani siku za nyuma kama angepata bahati hiyo..... Je tulio kwenye ndoa hii ina leta picha gani? tunaweza kuvumilia pale wenzetu watakapo tueleza ndoto zao za nyuma?
</p>
<p>&nbsp;</p>


kwa hapo mimi wivu sina ila roho inauma
 
Umeonaeh? Kuna watu humu... Au ngoja niache, nisijepata ban wakati bundle yangu hata sijaifaidi. Na id mpya hata sitaki mwenzangu!

Mphamvu unanitia mashaka na upeo wako wa kufikiri!!!! humu sio mahala pa mchezo mchezo. Na mtu ukimwona anatafuta jibu kwa njia rahisi inatia mashaka kama anastaihiki kuwa katika JF watu wanafikiri ndo wanatoa jibu. Give us ur analysis why u think people here are fooling around!!! this is a true scenario na imetokea sio kutoa majibu ovyo ovyo tu. Think? this is a blog for thinkers au nenda kule kwa akina ankal naniiiiiiiii!
 
Another hadithi! Kama ya kwenye kile kitabu chetu!

Birigita!! napenda na kuthamini mchango wako. Nashukuru hii sio utani kabsaaaaaaaaaa ni kweli tupu. Inaonekana wewe unaweza kunywa sumu ikiwa mwenzako atakuwa wazi kiasi hiki. Think na acha kutoa majibu kirahisi rahisi tu na kudhani ni mambo ya ALFU LELA U LELA mama hii ni blog ya thinkers... humu kuna ma think tank!!!!!
 
Hata kama una hisia kuna umuhimu gani kumuhadithia mwenzio hisia za nyuma wakati ukijua wazi zinamuumiza?
 
Back
Top Bottom