Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,471
- 722
Umeoana na mwenzako kidini,kimila au kiserikali.Kimila naingiza umo wale wenye ku cohabit.Unaona mambo yamebadilika.
Mara mwenzio kabadilika sura, tabia na kila kitu. Anakukera mwanzo mwisho.Hakusisimui tena kama zamani.Anakuudhi na kukutesa KISAIKOLOJIA HATA KAMA SIYO KIMWILI.Hamna tena mawasiliano.Kila mtu anafanya lwake.Hamhusiani tena kwenye tendo.Kwa kifupi hakuna tena kinachowaweka karibu kama mke na mume.Mmeshawekwa vikao vya usuluhishi hadi ndugu na marafiki wamewachoka. Kila mmoja anaona ndoa ni kituo cha polisi lakini cha ajabu bado mko pamoja.
Ikiwa ni wewe utafanya nini?
Najua jibu rahisi litakua - KUACHANA.
Sasa jambo la msingi la kujadili hapa ni:
JE, NI MUDA GANI MUAFAKA KUACHANA PALE WANANDOA WANAPOKUWA NA "IRRECONCILABLE DIFFERENCES" kama hizo hapo juu na kwanini unafikiri huo ndio muda muafaka?