Natafuta kazi ya udereva, leseni yangu ni Class C

Andaa vyeti vyako vzr vya udereva..tafuta msaada wa kipesa hata kwa ndugu,nenda Shinyanga katika migodi ya Buzwagi na Kahama mining kule Kakola,wameanza kuajili kidogo kidogo,kama unavyo vumilia shida Arusha nenda kavumilie kusimama kwenye geti la mgodi,wanaoingia na kutoka walilie shida ya kazi,,waTanzania hawana shida sana hutakosa wa kukusaidia

Utaleta mrejesho
 
Hapo kupata hio pesa ndugu yangu... Hapo ndio pagumu kaka... Na kama ingelikua naweza kupata pesa ili niende,.. Nadhani ningetamani kununua kazi hata hapa Arusha... Kweli huko nilisikia, ila hio pesa ya kuniweka huko ni changamoto nyingine hio
 
Arusha ngumu bro, mataita ndo tunakaza, mbona mbishe za kufanya zipo mingi ukapata hata ela ya kula? Tatizo wewe siyo mtu wa kuongea inaonekana. Kaa kinamna kama mimi kuwa muongeaji ..sema nini kuna mzee ngoja nibonge Naye ntakusanua chali yangu.
 
Mkuu, shida unayo lakin sio ya kuzidi sana.. kama kweli ungekuwa na shida ya kuzidi na huna kabisa namna nyingine nakuhakikishia usingejibu hivi
Hapana kaka sio masharti... Kumbuka kama alivyoweka wazi tusije shikana mashati,... Nami naongea ukweli, kazi za hesabu sijawahi... Je? Nisipofikisha hesabu anayo taka.. Si ataniona mwizi... Na kingine naweza kukubali hapa kwenye mke, watu wakajua nimeshapata, kumbe, nimeikataa pembeni... Naitaka sana, ila yeye kaniweka wazi mapema, kwanini nami nisiweke wazi?

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu ndugu zangu...

Kwanza niombe radhi kwenu, Ni hali ya maisha kuwa ngumu jamani... Leo nimeona bora nije kwa ndugu zangu humu huenda nikapata msaada ili nipate ridhiki ya kukizi maisha.

Naitwa Rashidi, nipo jijini Arusha. Jamani mwanaume mwenzenu nimekwama kiajira,... Nimemaliza mji wote wa Arusha huu, ni mwezi wa saba sasa sina kazi ya kujishikiza zaidi ya zile unapiga leo unapata buku mbili unaikimbiza kwa watoto.. Afu bora hio buku mbili uipate kila siku iwe afadhali, hapana..

Ndugu zangu??... Taaluma yangu ni udereva, nimetafuta hii nafasi,.. Nimekosa, baadhi ya sehemu wanataka pesa.. Nami hata ya kula na watoto sina....

Kwa wewe ndugu yangu kama unayo nafasi ya udereva gari lolote,.. Hususan ya mizigo.. Nipo Tayari kuja mkoa wowote, leseni yangu ni Class C, na ina vyeti vyake

Jamani wanaume wenzangu, Tusaidiane, mwanaume mwenzenu nimeshikika.

Waswahili wanasema mficha uchi hazai.... MIMI LEO NIMEUONYESHA NIZAE. nisaidie ndugu zangu... Ikipatikana tofauti na udereva pia nitafanya ili familia ipate kula

ASANTENI SANA. NITAMSHUKURU MWENYE KUNISAIDIA. NA MWENYE KUNIPA MAWAZO MAZURI YA KIMAISHA
 
Pole sanq chief, wakati mwingine huwa tunatumia njia isio sahihi kupata kitu sahihi....kama kuna mahali wanataka héla kidogo upate ajira na una uhakika itapatikana kwann usiongee na marafiki zako wakukopeshe utawalipa mdogo mdogo? kama hawawezi kukupa hapo kuna shida nyingine either hawakuamini au huna marafiki sahihi. Ushauri wangu omba deiwaka maeneo ya stand ndogo au kilombero hapo au hâta nafasi ya ukondakta msaidizi kama sehemu ya kuanzia
 
Kuna muda mtu unachakaa hadi watu wanaogopa kukukopesha amini nakwambia...... Haya maisha kuna level unafikia msaada pekee unaopata ni neno POLE
 
Ukiwa unaomba kazi usijionyeshe kama uko desperate namna hii.ni ushauri tu huo mkuu.
 
Habari zenu ndugu zangu...

Kwanza niombe radhi kwenu, Ni hali ya maisha kuwa ngumu jamani... Leo nimeona bora nije kwa ndugu zangu humu huenda nikapata msaada ili nipate ridhiki ya kukizi maisha.

Naitwa Rashidi, nipo jijini Arusha. Jamani mwanaume mwenzenu nimekwama kiajira,... Nimemaliza mji wote wa Arusha huu, ni mwezi wa saba sasa sina kazi ya kujishikiza zaidi ya zile unapiga leo unapata buku mbili unaikimbiza kwa watoto.. Afu bora hio buku mbili uipate kila siku iwe afadhali, hapana..

Ndugu zangu??... Taaluma yangu ni udereva, nimetafuta hii nafasi,.. Nimekosa, baadhi ya sehemu wanataka pesa.. Nami hata ya kula na watoto sina....

Kwa wewe ndugu yangu kama unayo nafasi ya udereva gari lolote,.. Hususan ya mizigo.. Nipo Tayari kuja mkoa wowote, leseni yangu ni Class C, na ina vyeti vyake

Jamani wanaume wenzangu, Tusaidiane, mwanaume mwenzenu nimeshikika.

Waswahili wanasema mficha uchi hazai.... MIMI LEO NIMEUONYESHA NIZAE. nisaidie ndugu zangu... Ikipatikana tofauti na udereva pia nitafanya ili familia ipate kula

ASANTENI SANA. NITAMSHUKURU MWENYE KUNISAIDIA. NA MWENYE KUNIPA MAWAZO MAZURI YA KIMAISHA
Mbona zipo kampuni nyingi za ulinzi ambazo ndio kimbilio la wengi hali ikiwa ngumu..

Pambana mwanaume kalinde
 
Naitwa Rashid, mkazi wa jijini Arusha. Umri wangu 27, Taaluma yangu ni udereva gari yeyote kuanzia ya mizigo. Abiria na hata binafsi. Vyeti vipo, nafanya kazi mkoa wowote. Nitangulize shukrani zangu kwenu.

Asanteni
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom