Kwa walio karibu na MWECAU: Je vyeti vya wahitimu wa chuo kikuu mwecau 2018 viko tayari?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Naomba kuuliza kama vyeti vya wahitimu wa chuo kikuu mwecau viko tayari. Ahadi ilitolewa kuwa vitakuwa tayari mwezi wa pili mwaka huu, je kuna mhitimu wa mwecau wa mwaka 2018 ameshachukua cheti chake cha digrii? Kwa anayefahamu tafadhali atujuze
 
Huna mawasilino ya chuoni kwako?? Mbona unaleta siasa hapa
 
Back
Top Bottom