Kwa Walimu wenye ujuzi wa kufundisha masomo haya, tukutane tufanye mradi

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
927
1,274
Wakuu habari za muda,

Kuna project inatakiwa kufanyika ambayo inaweza kutufanya tukaishi mjini na kuajiri vijana. Kwa Walimu ambao hawana kazi na ambao wamesomea masomo yafuatayo:
Physics
Biology
Chemistry
Mathematics
Geography
English

Lengo kuanzisha project kwa makubaliano maalumu, kwa maelezo zaidi in PM tuyajenge maana hauwezi kuandika project nzima hapa

NB: Itapendeza kama walimu hao watakuwa wanishi Dar, kwa maana project itachukua wiki kadhaa, baada ya project faida yake unaweza kujiliwa pia
 
updated.
wapo ambao wamejitokeza, nashukuru kwa hilo pia, ila sijaona wa hesabu , physics na biology na chemistry, sijajua kuwa mnapuuzia au mnataka kiendelea kuwa mnalalamika kuwa ajira hakuna.
 
wakuu habar za muda , kunaproject inatakiwa kufanyika ambayo inaweza kutufanya tukaishi mjini na kuajiri vijana, kwa walimu ambao hawana kazi na ambao wamesomea masomo yafuatayo:
physics
biology
chemistry
mathematics
geography
English.
lengo kuanzisha project kwa makubaliano maalumu, kwa maelezo zaidi in PM tuyajenge maana hauwezi kuandika project nzima hapa
NB: itapendeza kama walimu hao watakuwa wanishi Dar, kwa maana project itachukua wiki kadhaa,baada ya project faida yake unaweza kujiliwa pia.
Idea nzur mkuu nimeshakupm nasubr reply

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu habar za muda , kunaproject inatakiwa kufanyika ambayo inaweza kutufanya tukaishi mjini na kuajiri vijana, kwa walimu ambao hawana kazi na ambao wamesomea masomo yafuatayo:
physics
biology
chemistry
mathematics
geography
English.
lengo kuanzisha project kwa makubaliano maalumu, kwa maelezo zaidi in PM tuyajenge maana hauwezi kuandika project nzima hapa
NB: itapendeza kama walimu hao watakuwa wanishi Dar, kwa maana project itachukua wiki kadhaa,baada ya project faida yake unaweza kujiliwa pia.

Mbona tuna ku pm hureply mkuu? weka namba basi hapa tukupate kiurahis, au nichek 0738694616
 
soryy wakuu, mda mwingi natafuta rziki,ila waliokuja pm nadhani nimewajibu....... nivumilie siku kadhaaa nitawaita ili tuelewane kwanza.kabla ya yote.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom