Kwa walimu waliopo kazini na kwa mtu yeyote atakayeguswa

Wewe sio mkweli Udsm uwa hawafukuzi mwanafunzi kwa kutolipa ada uwa wanamvumilia mpaka wakati wa kumaliza wanazuia cheti au transcript yake.

Na kwa marks zako masomo ya science uwezi kukosa mkopo ata iweje. Duce wanakufukuza vipi kwa ajili ya ada ilihali walimu wote uwa wanapata mikopo?
Chuo gani kozi ya ualimu inalipa million 4 kwa mwaka?

Kuwa mkweli usaidiwe, ama sivyo utaonekana tapeli.
 
Njoo sasa ujibu hoja za wadau hapo juu ili tuweze kukusaidia au ndo umebaki kuzisoma tu bila kutoa ufafanuzi !!
 
Ina maana ukupata ata asilimia mojs???mwanzo nilianza kuguswa ila kila neno lililofuata niliuona utapeli wa wazi,au unadhani umu akuna aliyesoma udsm kusema watu hawaelew utaratibu wa pale?acha mambo ya ajabu kijana
 
Wewe sio mkweli Udsm uwa hawafukuzi mwanafunzi kwa kutolipa ada uwa wanamvumilia mpaka wakati wa kumaliza wanazuia cheti au transcript yake.

Na kwa marks zako masomo ya science uwezi kukosa mkopo ata iweje. Duce wanakufukuza vipi kwa ajili ya ada ilihali walimu wote uwa wanapata mikopo?
Chuo gani kozi ya ualimu inalipa million 4 kwa mwaka?

Kuwa mkweli usaidiwe, ama sivyo utaonekana tapeli.
UDSM ya sasa haivumlii mtu,,,kuna VALIDI ID na IVALID ID labda wewe umesoma miaka ya zamani,,siku hizi wanafukuza watu ndani ya chumba cha mtihani unakaguliwa mlangoni nhuwez kuingia na invalid ID
 
unafukuzwa ada udsm????

haijawai tokea... wengine tumesoma bila ada mpaka tunamaliza walipotukamata ni kwenye transcript tu hawakutupa hadi tumalize ada
 
Ina maana ukupata ata asilimia mojs???mwanzo nilianza kuguswa ila kila neno lililofuata niliuona utapeli wa wazi,au unadhani umu akuna aliyesoma udsm kusema watu hawaelew utaratibu wa pale?acha mambo ya ajabu kijana
hakuna utapeli hapa....ujue nawashangaa sana,,utapeli nitaufanyaje sijasema hiyo pesa ya ada mnipe mimi...mnaweza kulipa direct kwenye account ya chuo,,,,sihitaji kupewa pesa mkononi
 
unafukuzwa ada udsm????

haijawai tokea... wengine tumesoma bila ada mpaka tunamaliza walipotukamata ni kwenye transcript tu hawakutupa hadi tumalize ada
umesoma mwaka gani wewe,,siku hizi wanafukuza hadi SUA,,,,,kuna issue ya VALID ID ,,na ID yako inakuwa na expire date
 
ILI KUFUTA DHANA YA UTAPELI SIHITAJI KUPEWA PESA MKONONI..AU KUPITIA ACCOUNT YOYOTE...KWA WALIO TAYARI KUNISAIDIA.....

TUJARIBUNI KUFANYA MEANS ILI HII ISSUE ISIONEKANE YA KITAPELI ...maana comments zenu zote zinagusia utapeli...kwa aliye tayari kunisaidia tunaweza kufanya physical meeting uso kwa uso ili tujadili kwa kina.....

Kwa walio tayari naomba wani PM nita respond within stipulated time
 
tatizo lako ulitaka kuwa mwalimu mwenye degree...kwani ungeapply diploma ungekosa? kama unadai maisha magumu huna hata uwezo wa kulipa ada ungeomba diploma ya ualimu ukapata zako ajira halafu baadae ukaenda kupata hiyo degree yako....maana kama ulifikia hatua ya kuapply tena duce ni kwamba lengo lako ni uwe na degree ya mwalimu wa hesabu..
 
Ina maana ukupata ata asilimia mojs???mwanzo nilianza kuguswa ila kila neno lililofuata niliuona utapeli wa wazi,au unadhani umu akuna aliyesoma udsm kusema watu hawaelew utaratibu wa pale?acha mambo ya ajabu kijana
Yeaah,,sikupata mkopo kabisa....sina vigezo vya kupewa mkopo...Primary school nimesoma nje....secondary nimesoma private school..
 
Mi nashaur ungetafuta means ungeenda kwa Waziri au Naibu mweny dhamana kwa naona moja au nyingine WANAWEZA kukusaidia. Lakin kwa cc wananchi kiukweli Hali ni mbaya sana ukizingatia wa Tanzania tulio wengi kusaidia watu kweny issue serious kama hizi huwa inakuwa ngumu sana. Mfano jamaa alikuwa anamwaga ma U$D kweny show ya CHRISTIAN BELA daah Kuna watu wanamatatzo hivi. Usikate
tamaa.
 
tatizo lako ulitaka kuwa mwalimu mwenye degree...kwani ungeapply diploma ungekosa? kama unadai maisha magumu huna hata uwezo wa kulipa ada ungeomba diploma ya ualimu ukapata zako ajira halafu baadae ukaenda kupata hiyo degree yako....maana kama ulifikia hatua ya kuapply tena duce ni kwamba lengo lako ni uwe na degree ya mwalimu wa hesabu..

mkuu diploma ni wazo zuri lakini linanipa ugumu kuamua tokea nilipopata misuko suko hii..na sasa nimepoeza miaka mimgi..ni bora kama ikiwezekana niende degree direct
 
Wewe sio mkweli Udsm uwa hawafukuzi mwanafunzi kwa kutolipa ada uwa wanamvumilia mpaka wakati wa kumaliza wanazuia cheti au transcript yake.

Na kwa marks zako masomo ya science uwezi kukosa mkopo ata iweje. Duce wanakufukuza vipi kwa ajili ya ada ilihali walimu wote uwa wanapata mikopo?
Chuo gani kozi ya ualimu inalipa million 4 kwa mwaka?

Kuwa mkweli usaidiwe, ama sivyo utaonekana tapeli.
Sio kweli bro. UDSM 'asiyechanga hali', kama hujalipa ada hufanyi mtihani.
Ni rahisi kama hivyo...
 
Yeaah,,sikupata mkopo kabisa....sina vigezo vya kupewa mkopo...Primary school nimesoma nje....secondary nimesoma private school..
Mama ulikua na uwezo wa kusoma nje na private school utashindajwe kulipa Ada hata nusu mwaka?
 
Back
Top Bottom