Kwa walikokuwa wapenzi wa tamthiliya ya Jumong

Rubi

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
1,615
326
Baada ya kufurahi na kuburudika na tamthiliya ya Jumong sasa tamthiliya mpya ya THE LAND OF WIND ambayo ni mwendelezo wa Tamthiliya ya Jumong iko hewani kila j.tano, Alhamisi na Ijumaa saa tano kamili usiku kupitia kituo chako cha Itv.

(Part 1 is the story of princess Moohyul and King Yuri, Part 2 of Moohyul who became King, and Part 3 of Moohyul and Hodong, along with a princess character, who grows up and becomes a man. In the 17th volume, Hodong and Nakrang Princess Sabi may meet.)
The genre of Land of the Wind is fantasy. Its background is Korean history. Boy-meets-girl stories, history and fantasy are all shown in this work. The story unfolds, centering on the third king of Kogooryeo, "Daemooshin," who intended to expand his country beyond the Booyeo, Nakrang and Chinese Han Empire, and for his son Hodong.
The story may develop through wars with neighboring countries and in its characters' adventures. But Land of the Wind shows their sadness and agony in epic proportions, as well.

King Yuri, compared to the previous king, Dongmyoungseong of Kogooryo, lived in perpetual fear that he might not be recognized as a king and killed both of his sons when he felt threatened. King Daemooshin, pledged not to be such a man, but when he becomes king he grows to be like his father. Hodong, the son of king Daemooshin, observes his father's change to a hard, cold person. So, the main theme of this work is the growing solitude of a king who may have the world but loses love and his family, and the agony of others who see the changing king. We are moved by the harmony of the characters in this narration expressed so poetically and by the thick lines that may not easily be shown in boy-meets-girl stories.




*Booyeo: The country founded by Haemosoo who landed on a wagon drawn by five dragons sent from the heavens about 3200 years ago.
*Goguryeo: The country founded by Jumong who was fathered by the king of Booyeo and born to the daughter of Habaek (the god of water) in Manchuria in the middle of the 1st century before Christ. Most of the current northeastern Chinese area belonged to Kogooryeo.

 
nimeanza kuifatilia jana na nimetokea kuipenda kama nilivyoipenda jumong

Aithee babangu;kuna kila dalili kwamba hii ya sasa itakuwa kali zaidi ya ile ya Jumong!!! Hata hivyo ningependa kuwapa changamoto watengenezaji wa filamu wa hapa Bongo kuangalia tamthilia hii ili waone umuhimu wa usukaji wa matokeo ulio bora ambao ndio msingi wa filamu bora!!! Msuko mbovu wa matukio unaotokana na stori mbovu ndio unaosababisha filamu zetu kupwelea!!!!
 
asante sana kwa updates hizi kwani mimi ni mmoja kati ya wapenzi wa jumong, nadhani this time ntaipenda zaidi
 
Sio siri tamthilia hii imenifanya nianze kuchelewa tena kulala kila ifikapo jumatano mpaka ijumaa. Halafu eneo ilipotengenezewa hii tamhilia ni utalii tosha. kuzuri sana.
 
EPISODE 21 .............Mu-hyool decides to attack Buyeoh before being attacked.
Mu-hyool gets foods of Buyeoh. Shin force which is supposed to side with Goguryo retreats and joins Buyeoh's army.
Goguryo army loses and retreats................................. EP (22)



Dae-so orders Do-jin to bring him Mu-hyool's head.........................Bae-guk tries to assassinate Yuri and Mu-hyool.
Mu-hyool finds out how to break chariots of Buyeoh's army............Mu-hyool fights with Buyeoh's army again.Mu-hyool wins.
Mu-hyool arrests Bae-guk. Just then,the head of senates protects Bae-guk...................................

Kingdom of the Winds Episode 19 Eng Sub Part 3 - Watch or Download Kingdom of the Winds Ep 19 English subs Online - With Summary , Review or Dramawiki
 
Sio siri tamthilia hii imenifanya nianze kuchelewa tena kulala kila ifikapo jumatano mpaka ijumaa. Halafu eneo ilipotengenezewa hii tamhilia ni utalii tosha. kuzuri sana.

Bana banaa!!!! manake yashanikuta hayo na mimi ingawaje itabidi nizisake DVD za hii series kwakweli
 
Back
Top Bottom