Kwa wale wote mliotangaza mnatafuta wake/wachumba/ majimama ya kuwalea au mume na mkafanikiwa

GOOGLE

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
1,890
1,126
Wana ndugu naombeni msaada kwa wale wote tuliotumia JF kwa nia ya kutafuta wake/wachumba/majimama ya kutulea/waume au kakijana kakiume cha kukalea na tukafanikiwa naomba mtoe ushuhuda wenu hapa ili kuwanusuru na kuwatia moyo vijana ambao nao wanampango kama huo mliofanikisha nyinyi kwa kupitia JF.
 
Back
Top Bottom