Iziwari
Member
- Jun 5, 2021
- 49
- 47
Abdul mobile payment plugin, hii haijawahi tokea. kwanza kama umeshawahi kujiuliza ikiwa kuna uwezekano wa mtanzania kutengeneza wordpress plugin, yenye kiwango cha hali ya juu kama hii ya kufanya malipo mtandaoni. Jibu ni kwamba yupo na anaitwa Abdul Bunju.
Kwa historia fupi. Abdul Bunju ni kijana mtaalam wa mambo ya Tehama, Ikiwa amejikita sana kwenye swala zima la Software engineering.
Yeye ni mtu anaependa kujiuliza maswali, na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kutafuta majibu ya maswali hayo. Hapa namaanisha, ameanza kujifunza maswala ya tehama kwanzia akiwa secondary.
Na uelewa wake ulimfanya aanze kutengeneza software za aina mbali mbali.
Lakini hakuishia hapo maana mpaka sasa yeye ndie mtanzania pekee alioweza kutengeneza mfumo wa tofauti kuliko yote wa malipo mtandaoni.
Utofauti wake ni kwamba mara nyingi anafanya kazi zake mwenyewe. Pia amejifunza mwenyewe kutengeneza na ku-reverse engineer plugin za WordPress.
Tukiongelea kufanya reverse engineering. Ni kitendo cha kuelewa code zilizopo kwenye plugin flani na kuzibadilisha kwa kiasi ambacho utatengeneza kitu cha tofauti.
Utofauti mwingine ni kwamba anamaarifa makubwa pia katika swala zima la programming languages.
Maana amekuwa akijifunza kwanzia C,C++,PhP, VB.Net,Java,Kotlin,Javascript, angular.js, Laravel na python. Na kazi zake ni za kishindo.
Pia ana maono, nikimaanisha akianza kutengeneza kitu haishii hapo. Anapenda kuweka malengo ya baadae ya kitu anachotaka kuja kukiona. Huu ni ufahamu wa hali ya juu sana.
Kwa sasa hii ndio kazi yake ya kwanza, alieiruhusu kutangaziwa kwa watanzania wote, ingawa ana kazi nyingi zenye utofauti wa hali ya juu. Kazi hizi amenishauri kwanza nisiziweke.
Kwanza kwa wale waliosoma computer science na IT in general. Tunafaham kuwa, wengi wetu hatujifunzi kwa undani maswala ya API. Application programming interface. Na hapa ndio tunaweza kumpa mtu crown ya kuwa ndio IT wa kiwango cha hali ya juu. Ikifwatiwa na vitu vingine kama Artificial intelligence, gaming na Operating system ambayo nayo ni wachache sana wameweza kufikia.
Wordpress plugin hii inafanya mambo yafuatayo.
Kwanza inapokea pesa pale tu utakapo ingiza namba zako za simu (receive payment online)
Kinachohitajika tu ni kuweka namba yako ya simu na ku click lipa. Baada ya ku click lipa utapokea ujumbe kwenye simu yako , kwamba ingiza neno la siri ili uweze kufanya malipo. Ukiingiza tu, neno la siri, tayari utakuwa umeshanunua bidhaa unayotaka mtandaoni.
Mfano mzuri wa hii system ni kama kwenye site ya KIKUU. Hawa nao wanatumia mfumo huo huo lakini wameutengeneza kwa ajili ya site yao tu.
Hii ya Abdul Bunju mobile payment ni kwa ajili ya Tovuti(website) zote zinazotumia wordpress.
Kikubwa ni kwamba kwa kuwa ni system ya malipo ni lazima yeye kama mtaalam ndio aje akufungie.
Kwanza inabidi utupigie simu na ututumie link ya website yako unayotaka tukufungie mfumo huu.
Pia jiunge na group letu la whatsApp https://chat.whatsapp.com/HMqMb9l29ZtC0tYPNIErys. Ili kuuliza au kuhitaji huduma kwa haraka.
Tukimaliza kuchunguza website yako,na ikiwa imekidhi vigezo, ndio tutakurudia ili tuje kukufungia mfumo wetu wa malipo.
Mfumo huu hauna mipaka. Ikiwa una wordpress site, ya tourism, hotel, restaurant, betting site, Dating site, you name it any.
Worpress plugin hii inaweza kukaa na ikafanya kazi vizuri.
Ata kama unataka kufungua website mpya, lakini kwa malengo ya kuuza service yeyote. Tukikufungia system yetu ya malipo, utapokea pesa zako kwa usalama na urahisi.
Ndio, nayo ni rahisi sana, na haina tofauti na unavoweza kutoa pesa kwa njia ya mpesa au unavoweza kutoa pesa benki.
Tutakuhudumia.
Kumbuka mfumo utaunganishwa na mitandao yote ya simu. Nikimaanisha TigoPesa,T-pesa, na Halopesa, Selcom na mingine yote.
Lakini kwa sasa unafanya kazi vizuri na M-pesa, AirtelMoney.
Mda si mrefu tutaweka video ya mfano, wa mtu tuliemfungia mfumo huu kwenye E-commerce yake.
Na kwa uhakika Tupo tayari kukuhudumia na wewe pia.
Uzi umeandikwa na Eng.Israel Ngowi. SEO expert in Arusha.AKA IZIwarii.

Utofauti wake ni nini maana tuna wataalam wengi?

Hii plugin inafanyaje na kwa nini imemtengenezea Abdul Bunju historia?
Kwanza kwa wale waliosoma computer science na IT in general. Tunafaham kuwa, wengi wetu hatujifunzi kwa undani maswala ya API. Application programming interface. Na hapa ndio tunaweza kumpa mtu crown ya kuwa ndio IT wa kiwango cha hali ya juu. Ikifwatiwa na vitu vingine kama Artificial intelligence, gaming na Operating system ambayo nayo ni wachache sana wameweza kufikia.
Wordpress plugin hii inafanya mambo yafuatayo.
Kwanza inapokea pesa pale tu utakapo ingiza namba zako za simu (receive payment online)
Kinachohitajika tu ni kuweka namba yako ya simu na ku click lipa. Baada ya ku click lipa utapokea ujumbe kwenye simu yako , kwamba ingiza neno la siri ili uweze kufanya malipo. Ukiingiza tu, neno la siri, tayari utakuwa umeshanunua bidhaa unayotaka mtandaoni.
Mfano mzuri wa hii system ni kama kwenye site ya KIKUU. Hawa nao wanatumia mfumo huo huo lakini wameutengeneza kwa ajili ya site yao tu.
Hii ya Abdul Bunju mobile payment ni kwa ajili ya Tovuti(website) zote zinazotumia wordpress.
Kikubwa ni kwamba kwa kuwa ni system ya malipo ni lazima yeye kama mtaalam ndio aje akufungie.
Nitaipataje hii wordpress plugin ili niiweke kwenye website yangu?
Kwanza inabidi utupigie simu na ututumie link ya website yako unayotaka tukufungie mfumo huu.
Pia jiunge na group letu la whatsApp https://chat.whatsapp.com/HMqMb9l29ZtC0tYPNIErys. Ili kuuliza au kuhitaji huduma kwa haraka.
Tukimaliza kuchunguza website yako,na ikiwa imekidhi vigezo, ndio tutakurudia ili tuje kukufungia mfumo wetu wa malipo.
Mfumo huu hauna mipaka. Ikiwa una wordpress site, ya tourism, hotel, restaurant, betting site, Dating site, you name it any.
Worpress plugin hii inaweza kukaa na ikafanya kazi vizuri.
Ata kama unataka kufungua website mpya, lakini kwa malengo ya kuuza service yeyote. Tukikufungia system yetu ya malipo, utapokea pesa zako kwa usalama na urahisi.
Vipi kuhusu kuhusu kutoa pesa?
Ndio, nayo ni rahisi sana, na haina tofauti na unavoweza kutoa pesa kwa njia ya mpesa au unavoweza kutoa pesa benki.
Kwa mawasiliano piga simu namba 0687 22 64 93/0756431032.