Kwa wale WordPress site developers: Plugin inayoweza kutoa na kupokea pesa Mpesa/AirtelMoney Imekamilika

Iziwari

Member
Jun 5, 2021
49
47
Abdul mobile payment plugin, hii haijawahi tokea. kwanza kama umeshawahi kujiuliza ikiwa kuna uwezekano wa mtanzania kutengeneza wordpress plugin, yenye kiwango cha hali ya juu kama hii ya kufanya malipo mtandaoni. Jibu ni kwamba yupo na anaitwa Abdul Bunju.

Kwa historia fupi. Abdul Bunju ni kijana mtaalam wa mambo ya Tehama, Ikiwa amejikita sana kwenye swala zima la Software engineering.

Yeye ni mtu anaependa kujiuliza maswali, na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kutafuta majibu ya maswali hayo. Hapa namaanisha, ameanza kujifunza maswala ya tehama kwanzia akiwa secondary.

Na uelewa wake ulimfanya aanze kutengeneza software za aina mbali mbali.

Lakini hakuishia hapo maana mpaka sasa yeye ndie mtanzania pekee alioweza kutengeneza mfumo wa tofauti kuliko yote wa malipo mtandaoni.

Utofauti wake ni nini maana tuna wataalam wengi?​

Utofauti wake ni kwamba mara nyingi anafanya kazi zake mwenyewe. Pia amejifunza mwenyewe kutengeneza na ku-reverse engineer plugin za WordPress.

Tukiongelea kufanya reverse engineering. Ni kitendo cha kuelewa code zilizopo kwenye plugin flani na kuzibadilisha kwa kiasi ambacho utatengeneza kitu cha tofauti.

Utofauti mwingine ni kwamba anamaarifa makubwa pia katika swala zima la programming languages.

Maana amekuwa akijifunza kwanzia C,C++,PhP, VB.Net,Java,Kotlin,Javascript, angular.js, Laravel na python. Na kazi zake ni za kishindo.

Pia ana maono, nikimaanisha akianza kutengeneza kitu haishii hapo. Anapenda kuweka malengo ya baadae ya kitu anachotaka kuja kukiona. Huu ni ufahamu wa hali ya juu sana.

Kwa sasa hii ndio kazi yake ya kwanza, alieiruhusu kutangaziwa kwa watanzania wote, ingawa ana kazi nyingi zenye utofauti wa hali ya juu. Kazi hizi amenishauri kwanza nisiziweke.

Hii plugin inafanyaje na kwa nini imemtengenezea Abdul Bunju historia?​

Kwanza kwa wale waliosoma computer science na IT in general. Tunafaham kuwa, wengi wetu hatujifunzi kwa undani maswala ya API. Application programming interface. Na hapa ndio tunaweza kumpa mtu crown ya kuwa ndio IT wa kiwango cha hali ya juu. Ikifwatiwa na vitu vingine kama Artificial intelligence, gaming na Operating system ambayo nayo ni wachache sana wameweza kufikia.

Wordpress plugin hii inafanya mambo yafuatayo.

Kwanza inapokea pesa pale tu utakapo ingiza namba zako za simu (receive payment online)

Kinachohitajika tu ni kuweka namba yako ya simu na ku click lipa. Baada ya ku click lipa utapokea ujumbe kwenye simu yako , kwamba ingiza neno la siri ili uweze kufanya malipo. Ukiingiza tu, neno la siri, tayari utakuwa umeshanunua bidhaa unayotaka mtandaoni.

Mfano mzuri wa hii system ni kama kwenye site ya KIKUU. Hawa nao wanatumia mfumo huo huo lakini wameutengeneza kwa ajili ya site yao tu.

Hii ya Abdul Bunju mobile payment ni kwa ajili ya Tovuti(website) zote zinazotumia wordpress.

Kikubwa ni kwamba kwa kuwa ni system ya malipo ni lazima yeye kama mtaalam ndio aje akufungie.

Nitaipataje hii wordpress plugin ili niiweke kwenye website yangu?​

Kwanza inabidi utupigie simu na ututumie link ya website yako unayotaka tukufungie mfumo huu.
Pia jiunge na group letu la whatsApp https://chat.whatsapp.com/HMqMb9l29ZtC0tYPNIErys. Ili kuuliza au kuhitaji huduma kwa haraka.

Tukimaliza kuchunguza website yako,na ikiwa imekidhi vigezo, ndio tutakurudia ili tuje kukufungia mfumo wetu wa malipo.

Mfumo huu hauna mipaka. Ikiwa una wordpress site, ya tourism, hotel, restaurant, betting site, Dating site, you name it any.

Worpress plugin hii inaweza kukaa na ikafanya kazi vizuri.

Ata kama unataka kufungua website mpya, lakini kwa malengo ya kuuza service yeyote. Tukikufungia system yetu ya malipo, utapokea pesa zako kwa usalama na urahisi.

Vipi kuhusu kuhusu kutoa pesa?

Ndio, nayo ni rahisi sana, na haina tofauti na unavoweza kutoa pesa kwa njia ya mpesa au unavoweza kutoa pesa benki.

Kwa mawasiliano piga simu namba 0687 22 64 93/0756431032.​

Tutakuhudumia.

Kumbuka mfumo utaunganishwa na mitandao yote ya simu. Nikimaanisha TigoPesa,T-pesa, na Halopesa, Selcom na mingine yote.

Lakini kwa sasa unafanya kazi vizuri na M-pesa, AirtelMoney.

Mda si mrefu tutaweka video ya mfano, wa mtu tuliemfungia mfumo huu kwenye E-commerce yake.

Na kwa uhakika Tupo tayari kukuhudumia na wewe pia.
Uzi umeandikwa na Eng.Israel Ngowi. SEO expert in Arusha.AKA IZIwarii.

Wahi na ufanye biashara mtandaoni (online) ukiwa nyumbani.​

Hiyo Promo ni hatari!
Abduli umetisha kijana. Upewe tuzo ya kujigamba tu.
Ila Demo ya Plugin video dk 10?

Servers zinazofanya transaction ni za kwako au za mwenye site?
Transactions zikaa kwenye portal yako alafu we ndio unaweza kuzihamisha kwenda benki.
 
Abdul mobile payment plugin, hii haijawahi tokea. kwanza kama umeshawahi kujiuliza ikiwa kuna uwezekano wa mtanzania kutengeneza wordpress plugin, yenye kiwango cha hali ya juu kama hii ya kufanya malipo mtandaoni. Jibu ni kwamba yupo na anaitwa Abdul Bunju.

Kwa historia fupi. Abdul Bunju ni kijana mtaalam wa mambo ya Tehama, Ikiwa amejikita sana kwenye swala zima la Software engineering.

Yeye ni mtu anaependa kujiuliza maswali, na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kutafuta majibu ya maswali hayo. Hapa namaanisha, ameanza kujifunza maswala ya tehama kwanzia akiwa secondary.

Na uelewa wake ulimfanya aanze kutengeneza software za aina mbali mbali.

Lakini hakuishia hapo maana mpaka sasa yeye ndie mtanzania pekee alioweza kutengeneza mfumo wa tofauti kuliko yote wa malipo mtandaoni.

Utofauti wake ni nini maana tuna wataalam wengi?​

Utofauti wake ni kwamba mara nyingi anafanya kazi zake mwenyewe. Pia amejifunza mwenyewe kutengeneza na ku-reverse engineer plugin za WordPress.

Tukiongelea kufanya reverse engineering. Ni kitendo cha kuelewa code zilizopo kwenye plugin flani na kuzibadilisha kwa kiasi ambacho utatengeneza kitu cha tofauti.

Utofauti mwingine ni kwamba anamaarifa makubwa pia katika swala zima la programming languages.

Maana amekuwa akijifunza kwanzia C,C++,PhP, VB.Net,Java,Kotlin,Javascript, angular.js, Laravel na python. Na kazi zake ni za kishindo.

Pia ana maono, nikimaanisha akianza kutengeneza kitu haishii hapo. Anapenda kuweka malengo ya baadae ya kitu anachotaka kuja kukiona. Huu ni ufahamu wa hali ya juu sana.

Kwa sasa hii ndio kazi yake ya kwanza, alieiruhusu kutangaziwa kwa watanzania wote, ingawa ana kazi nyingi zenye utofauti wa hali ya juu. Kazi hizi amenishauri kwanza nisiziweke.

Hii plugin inafanyaje na kwa nini imemtengenezea Abdul Bunju historia?​

Kwanza kwa wale waliosoma computer science na IT in general. Tunafaham kuwa, wengi wetu hatujifunzi kwa undani maswala ya API. Application programming interface. Na hapa ndio tunaweza kumpa mtu crown ya kuwa ndio IT wa kiwango cha hali ya juu. Ikifwatiwa na vitu vingine kama Artificial intelligence, gaming na Operating system ambayo nayo ni wachache sana wameweza kufikia.

Wordpress plugin hii inafanya mambo yafuatayo.

Kwanza inapokea pesa pale tu utakapo ingiza namba zako za simu (receive payment online)

Kinachohitajika tu ni kuweka namba yako ya simu na ku click lipa. Baada ya ku click lipa utapokea ujumbe kwenye simu yako , kwamba ingiza neno la siri ili uweze kufanya malipo. Ukiingiza tu, neno la siri, tayari utakuwa umeshanunua bidhaa unayotaka mtandaoni.

Mfano mzuri wa hii system ni kama kwenye site ya KIKUU. Hawa nao wanatumia mfumo huo huo lakini wameutengeneza kwa ajili ya site yao tu.

Hii ya Abdul Bunju mobile payment ni kwa ajili ya Tovuti(website) zote zinazotumia wordpress.

Kikubwa ni kwamba kwa kuwa ni system ya malipo ni lazima yeye kama mtaalam ndio aje akufungie.

Nitaipataje hii wordpress plugin ili niiweke kwenye website yangu?​

Kwanza inabidi utupigie simu na ututumie link ya website yako unayotaka tukufungie mfumo huu.

Tukimaliza kuchunguza website yako,na ikiwa imekidhi vigezo, ndio tutakurudia ili tuje kukufungia mfumo wetu wa malipo.

Mfumo huu hauna mipaka. Ikiwa una wordpress site, ya tourism, hotel, restaurant, betting site, Dating site, you name it any.

Worpress plugin hii inaweza kukaa na ikafanya kazi vizuri.

Ata kama unataka kufungua website mpya, lakini kwa malengo ya kuuza service yeyote. Tukikufungia system yetu ya malipo, utapokea pesa zako kwa usalama na urahisi.

Vipi kuhusu kuhusu kutoa pesa?

Ndio, nayo ni rahisi sana, na haina tofauti na unavoweza kutoa pesa kwa njia ya mpesa au unavoweza kutoa pesa benki.

Kwa mawasiliano piga simu namba 0687 22 64 93.​

Tutakuhudumia.

Kumbuka mfumo utaunganishwa na mitandao yote ya simu. Nikimaanisha TigoPesa,T-pesa, na Halopesa, Selcom na mingine yote.

Lakini kwa sasa unafanya kazi vizuri na M-pesa, AirtelMoney.

Mda si mrefu tutaweka video ya mfano, wa mtu tuliemfungia mfumo huu kwenye E-commerce yake.

Na kwa uhakika Tupo tayari kukuhudumia na wewe pia.

Wahi na ufanye biashara mtandaoni (online) ukiwa nyumbani.​

Mpaka hapo bro umefail.

Kama umesoma software engineering hakika unatuaibisha ma software engineer.

Rudia ulicho andika mkuu utaona aibu.

Yaani WordPress plugin uandike wewe na documentation ushindwe kuandika alafu tukupigie simu mkuu au umeficha hadi documentation na unatupa historia yako kwenye plugin yako, ni sawa na kusimama sokoni kwa lengo la kuuza bidhaa kisha unaanza kuelezea ulikotoka na ulivyo fanikiwa kutengeneza badala ya kuandika inavyofanya kazi na namna ya ku integrate sehemu husika na kuweka link ya namna ya kuipata au tovuti yenu sasa hapa utasikia melo hataki link wakati jukwaa la sayansi tuna malink kibao link hazitakiwi kule kwingine sio kwenye jukwaaa la sayansi

Kule LinkedIn mbona mnajielezeaga vizuri au kwa sababu mnaonekana sura

Sawa bingwa.
 
Africa ndiyo maana tunashindwa kuendelea kwasababu wachawi wengi.
Ukiwa na jambo km hili unaweka kwenye Facebook page, Youtube na blog/website yako.
Hata humu, ukiomba msaada wa kuhusu blog, watu wanaomba link ya blog yako.
JF siyo ya kipindi kile. Hii ya leo wachawi wengi sana.
Hongera sana Abdul. Nimeikubali kazi yako 100. Ni bonge moja ya kazi nzuri umeifanya
 
Haya mambo uwezo tunazidiana na kuzidiana kusiwe sababu ya kumtupia maneno mtoa mada.

Kuna njia nzuri tu ya kuuliza maswali na kupata ukweli wa kile kinachoonekana kutiliwa mashaka.

Lakini pia hata kwa kutoa maoni na ushauri kwa lugha ya staha ni namna nzuri ya kusaidiana.

Suala la kujielezea ni suala pana na siyo kila mtu anaweza kufanya exactly vile watu wanataka kusikia.

Tuishi kuelekezana na kuhoji kwa kina ili kupata ukweli wa jambo na kuondoa hali ya wasiwasi kwa pande zote mbili.
 
Alipo kosea ni kutaka kujiona yuko exceptional kuliko developers wengine pia kujigamba!

Swala la kujieleza ni tatizo kwa wengi lakini njia aliyo tumia sio sahihi.

Na ndio maana hata makampuni mengi huwa na msemaji wa kampuni na maafisa mahusiano kwa sababu wanajua ukikosea kuwasilisha ujumbe wako basi kampuni imekufa.
 
Africa ndiyo maana tunashindwa kuendelea kwasababu wachawi wengi.
Ukiwa na jambo km hili unaweka kwenye Facebook page, Youtube na blog/website yako.
Hata humu, ukiomba msaada wa kuhusu blog, watu wanaomba link ya blog yako.
JF siyo ya kipindi kile. Hii ya leo wachawi wengi sana.
Hongera sana Abdul. Nimeikubali kazi yako 100. Ni bonge moja ya kazi nzuri umeifanya
Acha maneno mingi. Muungishe Abduli the great, kinyume na hapo utakuwa mkuu wa wachawi!
 
Asanteni kwa kuchangia, na mpaka mwisho wa mwezi huu. malalamiko yote tutakuwa tumesha yafanyia kazi.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom