Kwa wale wliowahi

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Hivi ukifumaniwa na mmeo au mkeo, BF au GF hali inakuaje hapo? uasilia wa tukio la fumanizi
 
..akilio zinapaa kwa dakika kadhaa
..ata km baunsa unalegea to the extent mtoto wa std 2 anaweza akakuchapa
 
kwani wataka kuchitt wewe?jaribu uone hali itakuaje...apa hujibiwi ukweli ng'ooo...we jalibu kaka jalibu tuu... wala uchiogope mwyaaa eee...:smile-big:
 
..akilio zinapaa kwa dakika kadhaa
..ata km baunsa unalegea to the extent mtoto wa std 2 anaweza akakuchapa

Kwanza pole kwa yaliyokupata
Hivi kwenye ile topic ya lile jina kuna ukweli kumbe
 
quote_icon.png
Originally Posted by kimbweka
hivi ukifumaniwa na mmeo au mkeo, bf au gf hali inakuaje hapo? Uasilia wa tukio la fumanizi

Hebu jaribu kufumaniwa halafu uone inakuwaje
 
:pound::pound::pound::pound:bwahahaha.,,kwiiitkwitikwiti... si nimemwambia huyu mshkaji ajifanya hajui kusoma thread yangu muache adanganywe.
quote_icon.png
Originally Posted by kimbweka
hivi ukifumaniwa na mmeo au mkeo, bf au gf hali inakuaje hapo? Uasilia wa tukio la fumanizi

Hebu jaribu kufumaniwa halafu uone inakuwaje
 
quote_icon.png
Originally Posted by kimbweka
hivi ukifumaniwa na mmeo au mkeo, bf au gf hali inakuaje hapo? Uasilia wa tukio la fumanizi

Hebu jaribu kufumaniwa halafu uone inakuwaje

Basi naomba unifumanie wewe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom