Kwa wale wenyeji na mliowahi kuishi Urambo mkoani Tabora hebu tukutane hapa

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,180
3,547
Kwa wale ndugu zangu tunatokea urambo na mliowahi kuishi urambo mkoani Tabora

Hebu tukutane hapa tuzungumzie urambo, maisha ya urambo, hali ya kiuchumi urambo na siasa za urambo na tujikumbushie enzi hizo za urambo, wazeee wetu pale urambo.

Mimi ni mzaliwa wa urambo ila nimekulia sana DAR ila urambo ndo home natokea Block q
 
Wakati nipo urambo kuna bibi mmoja alikuwa anaitwa binti hamisi

Huyu bibi alikuwa Maarufu sana urambo kwa kuuza karanga zenye mchanyiko WA mavi ya mbuzi.

Nadhani wazee urambo mtakuwa mnajua huyu bibi
 
Wakati nipo urambo kuna bibi mmoja alikuwa anaitwa binti hamisi

Huyu bibi alikuwa Maarufu sana urambo kwa kuuza karanga zenye mchanyiko WA mavi ya mbuzi.

Nadhani wazee urambo mtakuwa mnajua huyu bibi
Hahaha mzee umenikumbusha mbali mnoo maeneo ya stesheni yule Bibi karanga zake zilikuwa zinageuka mavi ya mbuziii
 
Nimetoka juzi kijiji cha songambele njia ya kwenda ulyankulu, na ndio nilipomalizia primary hapo
 
Dah! Nimekumbuka mbali sana, Urambo primary school, milambo stadium enzi za tim ya Eleven stars, Relini. Jamhuri by night ndio ilikua disco.
Siasa za urambo zilitawaliwa na familia ya marehem 2 by 3.
 
Jamani maisha urambo nimekumbukaa SOKO LA URAMBO .....

NIimemkumbuka TAJIRI MMOJA ALIITWA PATEL SIJUI KAMA YUPO
 
Back
Top Bottom