kwa wale wenye TV za zamani msiozitumia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wale wenye TV za zamani msiozitumia

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MKATA KIU, Mar 27, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wadau wote,

  Najua kutokana na kuja kwa TV za kisasa LCD TV, LED TV and other HIGH DEFINITIONS tv wadau wengi tumeanza kuzitumia majumbani kwetu as kwenda na technologia na kuziacha TV zetu tulizokuwa tunazitumia zamani STANDARD DEFINITIONS zikiwa stoo au sehemu nyingine zinajaza nafasi hazitumiki..

  Sasa kwa wale walionazo hawazitumii na wako tayari kuziuza kwa bei nzuri mnakaribishwa as mdogo wangu anazitumia kwenye biashara yake ya video games centre mitaani, na katika kupanua mradi wake anatafuta wanaoziuza kwa bei nafuu, just inbox your number atakutafuata..

  Interms of specifications, zisiwe below 21 inch, also ziwe from reputable branding and not za kichina as kwa mradi wake za kichina hazifai as zinatumika mda wote from morning to late for playstations gaming,

  Mnakaribishwa, bei ni mapatano kulingana na your products
   
Loading...