Kwa wale wenye sifa hizi tu!!kuna ofa Murua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale wenye sifa hizi tu!!kuna ofa Murua

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by UPOPO, Jun 25, 2012.

 1. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Jamani natafuta wale wenye sifa zifuatazo ili angalao week end hii nipate wakutoka nao.

  Kwanza awe ana 'JF Bronze' au 'JF Gold' awe mwenye jinsia tofauti na mimi.Ni urafiki wa kawaida tu na si vinginevyo.
  Bili tunashea kwa sababu nimegundua hawa niliowataja hapo juu wanajiweza sana mpaka wakapata mabronze na magold.
  Masharti:UsiniPM

  Wengine mnakaribishwa kutoa mawazo na kusaidia kuchagua kwani kuna watu hodari sana huku JF kwa msaada wa hali zote
   
 2. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  na wewe usini pm .ila tukutane
   
 3. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Wewe sikutaki una masifa niliyotaja ila unakaribishwa nikimkosa na nitatoa sifa mpya
   
 4. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Na mimi je naruhusiwa?
   
 5. G

  GTesha JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mimi nipo, kazi kwako sasa.
   
 6. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Hapana ila nashukuru umejaribu !sifa huna
   
 7. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Sifa huna soma tangazo vizuri
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mimi ulizoainisha kwangu ziko below my level, so far nashawishika nikutumie mtu wa kiwango hicho.
  Btw nikuulize huyo nitakae mleta hatotafunwa ?
  Jb kwanza nione nitakavyokusaidia
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  na wenye diamond jubilee je?
   
 10. m

  majiyachupa Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  bronze si elfu ishirini tu? Ndo umeona wana heeeeeeeela???
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hawa watamfaa Wema Sepetu.
   
 12. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Mlete kwanza afanyiwe majaribio,unaweza hata kupropose pia .Kutafunya usitie shaka inategemea
   
 13. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Watafikiriwa ,ila wajaribu nitawasaili
   
 14. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Kwani elfu ishirini sio hela?kwangu kidogo kidogo ujaza kibaba unaweza kuta ni mbahiri tu ila hela anayo
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,545
  Trophy Points: 280
  Mimi nakushauri kwa roho yangu nyeupe kabisa
  toka na Asprin yeye ana sifa nyingi,
  kubwa ni ile kuzimika baada ya kinywaji
  kwa mila za kwetu itabidi uondoke na kile alichonacho kwa ajili
  ya kumtunzia benki.
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Duuh "atafikiriwa" hili neno limenifanya nijikumbushe sometyms maneno mengine ukiyaandika kwa haraka unaweza kula suddenly ban! Kama hilo, yatakiwa uliandike taaraatiibu, o/wise mmh !
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,825
  Trophy Points: 280
  Hapo kwa red hebu kwanza tuambie jinsia yako...wewe ni he/she? Wengine hatudanganyiki na avatar.... Swahiba wangu klorokwini alishaingia choo cha kike akasahau kuchuchumaa alipopanga kukutana na King'asti akitegemea kuwa ni demu.......... Maweeeeeeee!!

  Tuambie jinsia yako kaka/dada tafazali.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,825
  Trophy Points: 280
  Khaaa! We Mamndenyi umeanza vizuuuuuri nikajua dada yangu mpendwa tokea mndenyi anajua kumtakia kakake mema, mpaka ulipokuja kuharibu hapo mwishoni....... Ngastuka!!

  Afu ushajua jinsia ya mtoa mada au nawewe unachechetuliwa na avatar? Stuka Mamndenyi...Think!!:A S-eek:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #19
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  haya nimekuja UPOPO...ni ofa gani hiyo ambayo unataka kunipa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  na mimi nimekuja.....haya sasa.....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...