Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,154
Wenye magonjwa sugu wengi huishi kwa msaada wa dawa. Dawa unazokunywa kupitia kwenye damu ili kufika kwenye chembe hai za mwili. Baada ya kufanya kazi dawa nyingi huchujwa na figo na kutoka na mkojo.
Hapa unaongezea figo kazi ya ziada kila siku. Wengi mnafahamu kuwa moyo na figo hufanya kazi kama kaka na dada.
. Moyo unapofanya kazi ya ziada na figo pia zinazidisha uwajibikaji. Hali hiyo iliendelea kwa muda mrefu ni mwanzo wa figo kufeli.