Kwa wale wenye magonjwa sugu epukeni unene

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
1,017
2,154
Wenye magonjwa sugu wengi huishi kwa msaada wa dawa. Dawa unazokunywa kupitia kwenye damu ili kufika kwenye chembe hai za mwili. Baada ya kufanya kazi dawa nyingi huchujwa na figo na kutoka na mkojo.

Hapa unaongezea figo kazi ya ziada kila siku. Wengi mnafahamu kuwa moyo na figo hufanya kazi kama kaka na dada.

. Moyo unapofanya kazi ya ziada na figo pia zinazidisha uwajibikaji. Hali hiyo iliendelea kwa muda mrefu ni mwanzo wa figo kufeli.

1076251
 
Ila ungefafanua hizo hesabu za uzito wa mwili na urefu ingekuwa bora zaidi.
 
Urefu wako katika mita (mfano sm 180 =m1.8) .sasa chukua urefu zidisha kwa yenyewe(1.80×1.80= 3.24) Hatua ya mwisho chukua uzito wako ni kg 80÷3.24= 25 . Hiyo 25 ni BMI (body mass index) .maana yake ukiwa na urefu Wa sm 180 hutakiwi kuwa na uzito zaidi ya kg 80 kwa Afya bora .ninavyojua ukiwa na uzito chini ya hapo haina labda kamaunaumwa. BMI inashauriwa iwe chini 25 na isiwe chini 23 kwa Afya. wenye wembamba Wa asili hawadhuriki. Hushauriwi kujikondesha chini ya BMI 23
 
Mkuu asante sana kwa hii formular, hii hesabu ilinipiga chenga sasa nimekuwa mtaalamu. Huko duniani watakoma.
 
Urefu wako katika mita (mfano sm 180 =m1.8) .sasa chukua urefu zidisha kwa yenyewe(1.80×1.80= 3.24) Hatua ya mwisho chukua uzito wako ni kg 80÷3.24= 25 . Hiyo 25 ni BMI (body mass index) .maana yake ukiwa na urefu Wa sm 180 hutakiwi kuwa na uzito zaidi ya kg 80 kwa Afya bora .ninavyojua ukiwa na uzito chini ya hapo haina labda kamaunaumwa. BMI inashauriwa iwe chini 25 na isiwe chini 23 kwa Afya. wenye wembamba Wa asili hawadhuriki. Hushauriwi kujikondesha chini ya BMI 23
Mi sijaelewa chochote
Hio 25 BMI ndio nini sasa? Inakuwaje mpaka kilo ziwe 80?
Yani tu umenitindinganya.
Mkuu mi binafsi niwekee hesabu tu kama ya (find X) ntakuelewa vyema
 
Urefu wako katika mita (mfano sm 180 =m1.8) .sasa chukua urefu zidisha kwa yenyewe(1.80×1.80= 3.24) Hatua ya mwisho chukua uzito wako ni kg 80÷3.24= 25 . Hiyo 25 ni BMI (body mass index) .maana yake ukiwa na urefu Wa sm 180 hutakiwi kuwa na uzito zaidi ya kg 80 kwa Afya bora .ninavyojua ukiwa na uzito chini ya hapo haina labda kamaunaumwa. BMI inashauriwa iwe chini 25 na isiwe chini 23 kwa Afya. wenye wembamba Wa asili hawadhuriki. Hushauriwi kujikondesha chini ya BMI 23
Toa mfano mwinge mfano mtu ana kilo 70kg , pia urefu wake ni 185cm

1.85*1.85=3.4225

70/3.4225=20.453

Hii ina maana gan!!
 
Mkuu hiyo hesabu upo sawa ila hizo cut off points hazipo sawa
 
Toa mfano mwinge mfano mtu ana kilo 70kg , pia urefu wake ni 185cm

1.85*1.85=3.4225

70/3.4225=20.453

Hii ina maana gan!!
Upo kwenye afya inayofaa..
BMI- uwiano wa uzito na urefu
-kwa watu wazima ukitoa
wajawazito

Reference
BMI= weight in kg÷height (m square)

18.5-24.9.....normal

25-29.9......overweight

>30........ obese/kiriba tumbo

Kwa maana ya kuwa urefu wako na uzito wako vinatakiwa viendane
 
Yaa chini ya 18. Uko unde weight
 
Back
Top Bottom