Kwa wale wenye maduka makubwa jinsi ya kuendeleza uhusiano na wateja wenu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale wenye maduka makubwa jinsi ya kuendeleza uhusiano na wateja wenu!!!!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Marketer, Jul 31, 2012.

 1. M

  Marketer JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari wadau!!!!

  Kutokana na ushindani na ukosefu wa ubunifu tumejikuta watu wote tunafanya biashara moja na kunyanganyana wateja kwa hali zote mpaka kwa ndumba.

  Kwa kuliona hilo tunatengeneza website ambayo itakufanya uweze kuretain wateja wako ulionao na wale wapya wanaopita mara moja.

  Hii strategy inafaa kwa maduka ya bidhaa kama nguo hasa botiques, vipodozi vya bei ghali, funiture, Electronics na mengine ila haifai kwa maduka ya bidhaa za kawaida, ujenzi au bidhaa ambazo zinafanana sehemu zote.

  Tumeshaiplement kwa baadhi ya wateja wanaoleta nguo china na uturuki na wameikubali

  kiufupi tu tunakutengenezea website(Highly for Marketing Purpose), other marketing materials ambayo itakutengenezea connection kati yako na wateja wako mda wote. Utaweza kuwapa taarifa wateja wako wote kila uletapo mzigo mpya, sample za mzigo zote zitakuwepo online, na utawafikia wateja wengi wa mbali kwa mda mfupi. Na website itakuwa na features ambazo mtu anachagua mzigo online na kuulipia, mnamtumia tu, Pia ni rahisi mtu kujua mpo wapi na mnabidhaa gani, kwa bei gani. Kubwa zaidi website inafanyiwa optimization ya hali ya juu kiasi cha kupatikana kirahisi na search engines. Dunia imebadilika watu hawafanyi window shopping za miguu, watu hawana mda wa kuzunguka kukutafuta inabidi uwatafute wewe muuzaji wanatafuta vitu online inabaki kwenda kuchukua tu. Ukitaka maelezo zaidi ni PM au piga simu.

  Website hizi tunafanya kwa 700,000/=.

  Mwisho kabisa tafadhalini sana kuna wadau huku jf wanajua kila kitu, kila habari wanaijua wao, sasa kama unajua sanaa au hii habari haikupendezi tusamehe kwa kukusumbua ila sisi tumelenga wale wajasiria mali ambao wana mitaji mikubwa, na miradi yao ila utandawazi huu haujawafikia so wanahitaji hii huduma

  Shukrani wakubwa!!!!

  Kama umevutiwa

  Contacts
  0756323213
   
 2. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sasa ukiwapata na kuwafundisha wenye maduka wote na wakaimplement strategy yako si hali itarudi vile vile? Hiyo ni temporary soln tuu. Acha utapeli BANA!
   
 3. M

  Marketer JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  si utapeli mkaka, strategy ni hizihizi what matters is how yo implement your strategy ndo maana hata shule tunasoma yaleyale ila kila mtu anapoingia kazini anafanya kivyake. Unaweza kukuta wote mnatangaza bt hamuuzi sawa. Hii ni kwa jili ya wao kufanya marketing, mauzo yanategemea factor nyingi
   
Loading...