Kwa wale wenye kutaka kujenga ghorofa nafuu kabisa ata ukiuza machungwa unaweza kutimiza ndoto zako

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,563
3,704
Thamani ndogo maisha yaleyale

Chumba 2 zote ni masters

Ukumbi wa kutosha kabisa

Jiko na choo cha public
Screenshot_20200529-071910.jpg
Screenshot_20200529-071915.jpg
Screenshot_20200529-071948.jpg
Screenshot_20200529-071950.jpg
Screenshot_20200529-071953.jpg
Screenshot_20200529-072002.jpg
Screenshot_20200529-072024.jpg
Screenshot_20200529-072027.jpg
Screenshot_20200529-072035.jpg
Screenshot_20200529-072048.jpg
Screenshot_20200529-072051.jpg
Screenshot_20200529-072108.jpg
Screenshot_20200529-072057.jpg
Screenshot_20200529-072129.jpg
Screenshot_20200529-072140.jpg
Screenshot_20200529-072154.jpg
Screenshot_20200529-072200.jpg
Screenshot_20200529-072233.jpg
Screenshot_20200529-072240.jpg
Screenshot_20200529-072258.jpg
 
Weka gharama ya kujenga hiyo gorofa kwa mteja kama atakuonyesha kiwanja. Hiyo inafaa sana kwa ajili ya kuwa panisha mabachela au wafanyakazi wanaofanya kazi maeneo ambayo hawakuweza kuhama na familia zao. Halafu kwenye mchoro ongeza kajiko ka square meter 6. Tuu kwa ajili ya matumizi ya kupika kipindi kama cha lock down kama kitatokea.
 
Mkuu jiko lipo chini na choo chake kwa ajili ya wageni juu chumba 2 na vyoo vyake.
 
ila wabongo kwa kuiga mko vizuri,,hii raman niliiona channel flani azam inaitwa lifestyle
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom