Kwa wale wenye kuficha maradhi chukuweni ushauri maelezo zaidi soma ndani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale wenye kuficha maradhi chukuweni ushauri maelezo zaidi soma ndani.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sonara, Jun 17, 2009.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ....yukkkkk!!! aaaaarrggghhhh e bana wee, wengine tunakula bana...

  (tahadharini, hiyo picha uchafu mtupu!)
   
 3. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sasa Mkuu mbu kama wengine mnakula ni vizuri mkawacha tabia hiyo kwani daktari wameleza chanzo chake na hasara zake ,wezetu wanelimisha watu wao na kama ingekuwa hapa Bongo ungesikia hayo si madili ya MTZ huku mtu unakufa kiofisa kwa matatizo yanoyoweza kupatiwa ufumbuzi,halafu tunasema eti wazungu tutawakuta siku moja, hawa watu hata kama watasema wanatusubiri basi nakuapia hatuwafikii .NO Chance
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Kumradhi, namaanisha nakula "Ugali na kisamvu" hapa!
   
 5. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Bila ya kumradh, sasa nimesha kufahamu ulichokuwa unakimainisha .kwamana kuna kiswahili kipya siku hizi .
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ha ha... haya bana. Naona wengine wanachungulia tu, hawasemi kitu.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  almanusura nitapike!!! Vitu vingine vione tu vikiwa vizima, loh!!
   
 8. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Angalau umediriki kusema ukweli wako,thank for being honest!!!kwani kila mja na fani yake aipendayo.
   
  Last edited: Jun 19, 2009
 9. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Nimecheka mpaka basi! Dah!
   
 10. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Maisha ni safari ndefu hujafa hujaumbika.
   
Loading...