Kwa wale wazoefu toeni ushauri kwa huyu KIJANA!

sasa mkuu kwa matokeo yake hayo watamkubalia kweli? Hebu yaangalie tena afu uniambie kama kuna uwezekano!
Yap atakubaliwa matokeo yake si mabaya sana nimeona ana Biology c na physics c chemistry d na math d ,kwa pass hizo ana qualify
 
Yap atakubaliwa matokeo yake si mabaya sana nimeona ana Biology c na physics c chemistry d na math d ,kwa pass hizo ana qualify

ila mkuu si nasikia lazima uwe na c ya chemistry&bios na d ya phy. Sasa huyu ana c ya phy na b ya bios na d ya chemistry! Hapo vipi!
 
Mwambie aache papara aende A-level, PCB anaweza kupata kama sio government hata private.
 
Mwambie aache papara aende A-level, PCB anaweza kupata kama sio government hata private.

hata mimi nimemshauri! Kwan hata mimi nimepitia mfumo huo wa a level! Sema yeya anaogopa kupoteza muda.
 
hata mimi nimemshauri! Kwan hata mimi nimepitia mfumo huo wa a level! Sema yeya anaogopa kupoteza muda.

Kweli yupo sahh coz advance kupoteza muda but ili usome dip lzm uwe na C ya chem&Bio na D ya Phy labda aende kwenye wizara ataelekezwa zaid mkuu
 
Kwanin asiende advance!?? Mbona matokeo yake mazur!!

sina utaalam sana na maswala ya medicine....ila kama angeweza kwenda advance hapi ni moja kwa moja medicine...anaogopa nin au matokeo alipata kwa mlungula!!
 
tatizo matokeo yenyew ya kustandadaiziwa ndo maana wanaogopa advance....mwambie aende akasome advance aache usoro
 
Kwa matokeo hayo mi namshauri aende A'level na namhakikishia atachaguliwa kwa sababu ana grades C D B kwenye masomo matatu PCB huko CLINICAL OFFICER course wataogopa kumchukua kwa sababu amefaulu kupita kiwango wanachokitaka (over qualified) la muhimu akifika Advance asome kwa bidii maana PCB si mchezo.
 
Aende diploma dogo atakuwa na maisha mazur tu then baada ya hapo apande md ni nzur zaid coz mm nipo degree ya md lakini mambo yapo tight kwa watu fresh from xul yani waliotoka form six tofauti na watu wa clinical office r ni wazur zaid yetu na mshahara wa kuanzia ni sh. Laki tano. Pcb hakuna uhakika wa maisha cuz atakutana na nectaa ya form six weng huwa wanaangukia pua lkn kama anapenda kwenda advice mwambie akakaze mxul na awe mjanja maana kufualu kuna vitu ving.
 
Back
Top Bottom