Kwa wale wazoefu toeni ushauri kwa huyu KIJANA!

jaynick

Senior Member
Apr 7, 2013
167
12
Kuna kijana hapa chumbageni kanifata ananiuliza kama anaweza kusoma diploma ya clinical officer. Me mgeni kidogo kwan sijapitia mfumo huo. Matokeo yake mapya ni
PHYSICS-C
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-B
HISTORY-C
CIVICS-C
ENGLISH-C
GEOGRAPH-D
MATH-D
Ana division 3 ya points 22. Kwa wanaojua ushauri pleas!
 
Ndio anaweza! Atembelee tovuti ya wizara ya afya kwa maelekezo zaidi. Na mwambie hasije akajiroga kwenda advance. Elimu imekufa, necta zinavuja kibaha, wanafunzi wa sasa wanachora mazombe na kuandika mashahiri, na Taifa halina mtaala wa elimu.
 
Kuna kijana hapa chumbageni kanifata ananiuliza kama anaweza kusoma diploma ya clinical officer. Me mgeni kidogo kwan sijapitia mfumo huo. Matokeo yake mapya ni
PHYSICS-C
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-B
HISTORY-C
CIVICS-C
ENGLISH-C
GEOGRAPH-D
MATH-D
Ana division 3 ya points 22. Kwa wanaojua ushauri pleas!

Mkuu hiyo chemia ndio imearibu.
 
Sifa ya kujiunga ordinary diploma katika ngazi clinical officer ni lazima uwe
Bilogy C
Chemistry C
Physics D
ndio unaweza kujiunga na ngazi ya diploma
 
yy anataka clinical officer
hata hiyo anaweza kuchaguliwa , nadhani wanachukua mwisho div 3,
na kwa sasa kunaushindani sana aanze kuomba vyuo mapema ,
mshahara wao wa kuanzia kwa sasa ni TGHS C. 1.ambayo ni 535,000/ kabla ya makato.
 
Mwambie aende advance,aachane na shortcut za maisha.
Huyu mtu akimaliza akifanikiwa kumaliza Diploma yake ya mambo ya clinical anakuwa dili kulipo mtu wa advance(form six)
kwanza anakuwa tayari na proffessional yake , uhakika wa ajira . na pia anaweza kwenda kupiga MD kiulaini tena kwake masomo yanakuwa sio mapya sana. Form Six is not a professional na ajira kwa form six leaver sio za uhakika. Huku 'serikalini kwa mfano siku hizi hakuna ajira za form six leaver ukiondoa kwenye vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Siku hizi hata uhudumu ,mapokezi, ulinzi,udereva . lazima uwe na cheti cha profession kutoka veta au vyuo vingine vinavyotambuliwa na serikali.
Namshauri huo mdogo wako akapige hiyo Diploma yake. Akimaliza tu atakuwa na uhakika wa ajira na kusomeshwa elimu za juu zaidi. I am talking from the kitchen/ horses mouth
 
sasa mkuu kwa matokeo yake hayo watamkubalia kweli? Hebu yaangalie tena afu uniambie kama kuna uwezekano!
 
Back
Top Bottom