Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

tafuta biashara nyingne ndgu, hiyo unayotaka kujalibu utajutia sana yan matokeo yake kwa zaid ya 70% kati ya wanaojalibu kwa kufanya legally huwa ni hasara, kuna muda kodi katika gunia huzid cost ya kununulia gunia plus transport cost sasa hapo pata picha unakuja kutafuta nn!
Nimekuelewa mkuu asante kwa ushauri.
 
Habari njema kwa wafanya biashara ya mkaa

Tunasafirisha na kusambaza mikaa toka kijijini kwa bei nafuu kwa gunia

Tunasambaza maeneo yote ya jiji la dar es salaam kuanzia gunia kumi na kuendelea

Mkaa ni mzuri Mzito na bei nafuu karibuni sana

Vile vile kwa wale wanao hitaji kwa matumizi ya ndani upo unapatikana bei nafuu hutojuta

Kama unahitaji usisite kutoa oda na eneo ulilopo kwa watssap 0654352424

Karibuni
 
Bei ya jumla kwa gunia shingi ngap
 
Wa matumizi ya nyumbani gunia ni 26 ila sikuletei mpaka mlangoni utakuja kupokelea maeneo jirani na barabara kuu mfano kama unaishi moro road unapokelea ubungo au kimara
Sorry lakini hilo gunia la 26 linalinganaje au ndo kile kitoto cha gunia kinafika magotini
 
Back
Top Bottom