mimi ni mtumiaji mkubwa wa veet hair removal cream,natumia sehemu zote zenye nywele,i mean private area,kwenye kwapa na haijawahi kunidhuru.nikishajinyoa,sehemu huwa safi kabisa,hakuna vipele wala mikwaruzo.ila hizi veet zinatofautiana,ninazozijua mimi kuna moja cover lake la nje la pink,na jengine la zambarau.la zambarau ni kali huwa situmii hiyo,hiyo ya pink ndio inayonifaa