Kwani bado mkuu?Vuta subira mpwa.. ...
Diploma ya kilimo wamesha towa majina ndugu.Mimi nimeapply ministry of agriculture institutes naona bado havijatoa majibu
SUAJaman hivi ni mimi mwenyewe tu ambaye sijapata majibu kuhusu vyuo hadi mda huu kwa upande wa diploma au wapo wengine??
Hapana Mkuu bado mbona kila nikiangalia hamna kitu au vyuo vya private ndio waliotoa mkuuDiploma ya kilimo wamesha towa majina ndugu.
Apana ngoja nikutafutie hiyo PDF file chapHapana Mkuu bado mbona kila nikiangalia hamna kitu au vyuo vya private ndio waliotoa mkuu
Hapana Mkuu bado mbona kila nikiangalia hamna kitu au vyuo vya private ndio waliotoa mkuu
Habari,
Nilikuwa naomba kujua kama kuna yoyote anayefahamu kama kutakauwa na second round ya diploma au ndio basi mpaka march.
Mkuu umepata DIT naww?DIT tayar
Ndgu yanguMkuu umepata DIT naww?
wamefungua sec round tangu juzi mkui omba mwisho tarehe 30 mwezi huu diploma za nacte lakini sijajua zingineHabari,
Nilikuwa naomba kujua kama kuna yoyote anayefahamu kama kutakauwa na second round ya diploma au ndio basi mpaka march.