Kwa wale watu walioapply diploma mwaka huu

Manreal

Member
Oct 1, 2020
9
0
Jaman hivi ni mimi mwenyewe tu ambaye sijapata majibu kuhusu vyuo hadi mda huu kwa upande wa diploma au wapo wengine??
 
Kuna jamaa yangu kaaply Water Institute na Makumira higher diploma na hajapewa majibu mpaka saiv tukajua amekosa kumbe Kuna wengine Wana tatizo Kama hili by the way vuteni subira.....
 
Ni kuwa na subila maana kwenye website zao awaoneshi , kikubwa ni kufatilia news na updates za selections
 
Jaman hivi ni mimi mwenyewe tu ambaye sijapata majibu kuhusu vyuo hadi mda huu kwa upande wa diploma au wapo wengine??
SUA
UDOM
MUST
Kilimo
tayari wamesha towa majina ila jana nilikuwa na jama yangu yeye aliomba IFM tayari kashajibiwa diploma yake but kuna a/c ya rafiki yangu mwingine nikajaribu kumchekia hawajamjibu chochote.
 
Habari,
Nilikuwa naomba kujua kama kuna yoyote anayefahamu kama kutakauwa na second round ya diploma au ndio basi mpaka march.
 
Habari,
Nilikuwa naomba kujua kama kuna yoyote anayefahamu kama kutakauwa na second round ya diploma au ndio basi mpaka march.
wamefungua sec round tangu juzi mkui omba mwisho tarehe 30 mwezi huu diploma za nacte lakini sijajua zingine
 
Wadau mwenye link ya majina yote naomba a share hapa mimi ninetafuta sijaona na nili apply
 
Back
Top Bottom